Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kuna baadhi huwa wanakuwa wataalamu wa mambo fulani. Kuna wakati unamtafuta kuongeza kitu fulani kwenye fani husika.

Maana kuna mmoja alikosea kitu fulani nikataka kumpata maelezo zaidi juu ya hicho kitu.
Naingia pm nakutana na lock ikabidi nipige chini.


Ukirudi kwa upande wako hao wa Posta mwenge si ndio hawa hawa wa jf.
 
Utaalamu huu Baba Mchungaji.

Sisi wa majukwaa yasiyo na madhara wala hatutaki kuijua hiyo MAC inapatikana wapi.
 
Wengi wanadhani wanawake wote wa jf ni wa kutoka BUZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…