Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kwa wanawake wote mliofunga PM

Mama mchungaji, ebu naomba kwanza hao rafiki zako wanisamehe kwa mtazamo na msimamo wangu.

Kwanza mwanaume hasumbuliwi, sasa kwanini afunge PM??

Pili mwanaume akiamua kutowasiliana na mtu halazimishwi na ashawishiwi, sasa kwanini afunge PM??

Tatu mwanaume akitema nyongo hapaswi kuogopa na sio lazima ajibu hoja ama tuhuma, sasa kwanini afunge PM

Nne mwanaume akizinguwa basi sio lazima ajibu PM, sasa kwanini afunge PM??

Tano mwanaume wa ukwelu hashawishiwi kwa maneno mazuri PM, sasa kwanini afunge PM??

Mwanaume anapo funga PM kwakweli inatia mashaka sana aiseeeee...
Anyway, ebu ngoja kwa leo niishie hapa
Kaka kwani uanaume ni nini ?

Kuna wengine wanafunga PM ili kuepuka vishawishi na wengine ni maamuzi tu.

Lakini lililo la msingi,sisi miongoni mwetu wenye kufunga PM bila shaka watakuwa na sababu zao,na huenda zikawa za msingi kuliko unavyofikiri.

Jambo la msingi tungewauliza wadau inakuwaje wana funga PM bila shaka tutapata majibu ya uhakika kuliko kuwa na dhana.
 
Hebu ngoja niifuatilie kwa ukaribu Mtani japo itakavyokuwa ni hewala kwangu.

Sababu si kitu cha ajabu kwa ile kazi aliyoichagua yaani kutupiwa virago nje nje.

Pamoja na kila la kheri, mpate kocha atayewatengeneza ili muweze kuleta ushindani.

Maana Simba bila Yanga si kitu, tunawahitaji.
 
Back
Top Bottom