Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

Wakipekee

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
6,194
Reaction score
10,711
"Yanga hawajafa KIUME wala hawajafa KISHUJAA.

Vita inapofika MWISHO wanajeshi wote—walioshinda na walioshindwa—hurudi nyumbani wakiwa HAI. Waliokufa ni wale ambao hawakufika mwisho wa mpambano.

Yanga HAWAJAFA kabisa. Wamefika mwisho wa mpambano na sasa wanarudi nyumbani wakiwa HAI." Maundu Mwingizi

Kwanza niipongeze timu ya Yanga Kwa kufika Fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika, hii ni mara ya Kwanza Kwa timu ya Tanzania kufika hiyo hatua kubwa kabisa. Tumekua tukishuhudia timu za kaskazini na walau Kwa ukanda huu wa kusini mwa jangwa la Sahara ni timu za Congo na Afrika kusini pekee ndo hua zinafika hiyo hatua.

Hii sasa italeta hamasa kuelekea msimu ujao. Kikubwa tujipange kuboresha kikosi. Viongozi wafanye usajili kulingana na matakwa ya mwalimu Kwa kuzingatia nafasi zinazopwaya....

Hakika tulikua na msimu Bora Sana, na tumepata mafanikio makubwa Sana lakini tunatakiwa kufanya makubwa zaidi.

Karibu mwananchi mwenzangu tujadili maboresho na mapendekezo ambayo tunapaswa kufanya ili msimu ujao tufike Fainali ya CAF Champions League...
IMG_20230604_104324.jpg
IMG_20230604_104707.jpg
 
View attachment 2645534View attachment 2645536
Waongezwe Mayele wawili kule mbele ili wawe watatu na beki tall mmoja wa ziada kupunguza magoli ya set pieces.
 
Vipi kuhusu mawinga
Tatizo la Yanga miaka yote ni kutokuwa na play makers. Dribblers.

Wafanye usajili wa Dribblers wawili..defender mrefu mmoja au wawili wa kuruka aerial balls na second strickers wawili.

Sidhani kama mayele atabaki msimu ujao.

Yanga michuano yote haijaweza kucheza katikati hata kidogo..hao akina sure boy hawana maajabu ya kushindana championship..kama malumo gallants tuu waliwasumbua vile.

Alafu wachezaji wafundishwe mambinu magumu wayaweze.

Kukaba kienyeji na counter hazikupeleki popote champions league.

Ndio maana waliaibishwa na al hillal ya sudan

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa Jana Yanga ingepata play marker game ingeisha mapema tu, lakini Miaka mingi tumekua tukitumia mawinga Kwa sana
 
final ya Champions ni habari nyingine.ukiacha kuwa na wachezaji wa bei rahisi kwa hizi timu zetu za bongo pia kuna figisu nyingi za timu za kaskazini.

wanapokezana tu likitoka Misry linaenda Moroco likutoka Moroco linaenda Tunisia,Algeria n,k
 
Na huu ni mpira wa kizamani. USMA walikua dhaifu mno jana..hadi mashabiki kuwasha mabaruti zilikua janjajanja za kupoteza muda na kupumzika. Walikua dhaifu mno..mnoo..mnoo...ila yanga tuu hawakustukia mapema.

Angalia walivyokuwa wanamkaba mayele na kum-mark Morrison alipoingia..coz walijua kuwa hawa ndio hatari.

Morrison ana dribbling nzuri sana.

Wangepata playmaker mmoja au wawili jana..mbona mechi ingekua rahisi mno.

Laiti simba angekutana na wale..wangechakazwa kinomanoma yaani..wangepigwa hata nne

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Hongereni Yanga.

Kama mlijiita mabingwa wa kihistoria naona title imeongezeka.

Sasa tutasikia 'mabingwa wa kihistoria' the 2023 CAFC finalists nk'

Sisi Simba mbona tutakoma hiyo 2024.

Na kama jana wangechukua ubingwa nadhani miezi 3 tungeugulia kwa vijembe hadi tukome.

Kuanzia yule anaeisemea Yanga kama anaongea na watoto wa shule hadi mashabiki wapiga kelele.

Yote kwa yote, wacha utani uendelee, Yanga mnastahili kusherekea kwa hatua mliyoifikia.

Hongereni watani.
 
final ya Champions ni habari nyingine.ukiacha kuwa na wachezaji wa bei rahisi kwa hizi timu zetu za bongo pia kuna figisu nyingi za timu za kaskazini.

wanapokezana tu likitoka Misry linaenda Moroco likutoka Moroco linaenda Tunisia,Algeria n,k
Hii ni kwa sababu watu wengi hawajui.

Angalia sasa hivi wanavyocheza akina Mamelodi..wanajua kila kitu..wana bajeti kubwa na pia wana mipango mingi.

Ukicheza nao hata kama utawazidi kila kitu wanajua unachowazidi ni nini na wanatakiwa wafanyaje ili wakuepuke.

Hivi ndio sisi wa afrika mashariki hatuvijui.

Tunapaswa kuwashukuru sana Simba kutufungulia mwanya huu wa kujifunza zaidi kwenye mpira..na kujaribu mbinu mpya rahisi na ngumu.

Timu za kaskazini wakishajua unajua zaidi yao..wanaogopa..wanaanza kucheza vituko..fitna na kadhalika..na inasaidia kwa sababu mru mweusi anawahi kupanick na kutoka mchezoni.

Niliona mamelodi walivyocheza na wale wydad sijui..

Mechi ya kwanza wamechezewa figisu flani za kijinga..wakala nyekundu mbili..ingawa hawakufungana..alafu mechi ya pili wakalazimishwa sare ya magoli ambayo imewaumiza na kutolewa.

Na hapo kumbuka kua mamelodi anajua sana zaidi ya aliyecheza naye...

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
final ya Champions ni habari nyingine.ukiacha kuwa na wachezaji wa bei rahisi kwa hizi timu zetu za bongo pia kuna figisu nyingi za timu za kaskazini.

wanapokezana tu likitoka Misry linaenda Moroco likutoka Moroco linaenda Tunisia,Algeria n,k
Champions league kwa ukanda wa CECAFA anaiweza TP Mazembe, lakini nae kashapoteaa.
 
Ni Al ahly Tu na Mamelod ndio wanaweza kupigia mahesabu ya fainal hata kabla ya kuingia makundi. Sasa nyinyi kenge hata mpinzani wa kuelekea makundi hamumjui mnapiga hesabu ya fainal ya champions, hata makundi mnaweza msiguse.
 
Mamelod wenyewe wakifika Nusu wanatokaa, sijui hata wanakwamaa wapiii yaan, khaaah
Had huwa nawaonea huruma.
 
Wafanye hayooo ambayo niliyaona
 
Back
Top Bottom