Tumbo La Kioo
Member
- Jun 3, 2023
- 11
- 10
kuna makosa madogo wanafanya ni kama wana overconfidence but still ni team bora sana!Mamelod wenyewe wakifika Nusu wanatokaa, sijui hata wanakwamaa wapiii yaan, khaaah
Had huwa nawaonea huruma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna makosa madogo wanafanya ni kama wana overconfidence but still ni team bora sana!Mamelod wenyewe wakifika Nusu wanatokaa, sijui hata wanakwamaa wapiii yaan, khaaah
Had huwa nawaonea huruma.
pesa mpira ni iwekezaji.Champions league kwa ukanda wa CECAFA anaiweza TP Mazembe, lakini nae kashapoteaa
Sasa tufanyeje ili tufike huko?final ya Champions ni habari nyingine.ukiacha kuwa na wachezaji wa bei rahisi kwa hizi timu zetu za bongo pia kuna figisu nyingi za timu za kaskazini.
wanapokezana tu likitoka Misry linaenda Moroco likutoka Moroco linaenda Tunisia,Algeria n,k
hata wachezaji wa kaskazini(waarabu)wanajua kumzonga refa.refa anajikuta anaweka tuta au faulo au kubadili maamuzi kwasababu ya kuzongwa zongwa tu wachezaji.Hii ni kwa sababu watu wengi hawajui.
Angalia sasa hivi wanavyocheza akina Mamelodi..wanajua kila kitu..wana bajeti kubwa na pia wana mipango mingi.
Ukicheza nao hata kama utawazidi kila kitu wanajua unachowazidi ni nini na wanatakiwa wafanyaje ili wakuepuke.
Hivi ndio sisi wa afrika mashariki hatuvijui.
Tunapaswa kuwashukuru sana Simba kutufungulia mwanya huu wa kujifunza zaidi kwenye mpira..na kujaribu mbinu mpya rahisi na ngumu.
Timu za kaskazini wakishajua unajua zaidi yao..wanaogopa..wanaanza kucheza vituko..fitna na kadhalika..na inasaidia kwa sababu mru mweusi anawahi kupanick na kutoka mchezoni.
Niliona mamelodi walivyocheza na wale wydad sijui..
Mechi ya kwanza wamechezewa figisu flani za kijinga..wakala nyekundu mbili..ingawa hawakufungana..alafu mechi ya pili wakalazimishwa sare ya magoli ambayo imewaumiza na kutolewa.
Na hapo kumbuka kua mamelodi anajua sana zaidi ya aliyecheza naye...
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Watacheza akina PAPE SAKHO....Unadhani fainali za CAFCL ni mataqo? Miziki ya Mamelod na Al Ahl ndio ucheze na hao kina Aziz Ki?
Hii ni kauli ya walioshindwa. PatheticUnadhani fainali za CAFCL ni mataqo? Miziki ya Mamelod na Al Ahl ndio ucheze na hao kina Aziz Ki?
mamerod.wanacheza.mpira.wa.mtaaniMamelod wenyewe wakifika Nusu wanatokaa, sijui hata wanakwamaa wapiii yaan, khaaah
Had huwa nawaonea huruma.
Wampe Nabi mahitaji anayo yataka,wamwachie yy apendekeze wachezaji wa kiwasajili na mwisho viongozi waache ubahili, hela ambayo Yanga kaingiza kwenye michuano hii ina karibia dola 3m,inatosha kufanya usajili wa wachezaji hawa 3-5 wakubwa na nyingine tufanyie mambo mwengine."Yanga hawajafa KIUME wala hawajafa KISHUJAA.
Vita inapofika MWISHO wanajeshi wote—walioshinda na walioshindwa—hurudi nyumbani wakiwa HAI. Waliokufa ni wale ambao hawakufika mwisho wa mpambano.
Yanga HAWAJAFA kabisa. Wamefika mwisho wa mpambano na sasa wanarudi nyumbani wakiwa HAI." Maundu Mwingizi
Kwanza niipongeze timu ya Yanga Kwa kufika Fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika, hii ni mara ya Kwanza Kwa timu ya Tanzania kufika hiyo hatua kubwa kabisa. Tumekua tukishuhudia timu za kaskazini na walau Kwa ukanda huu wa kusini mwa jangwa la Sahara ni timu za Congo na Afrika kusini pekee ndo hua zinafika hiyo hatua.
Hii sasa italeta hamasa kuelekea msimu ujao. Kikubwa tujipange kuboresha kikosi. Viongozi wafanye usajili kulingana na matakwa ya mwalimu Kwa kuzingatia nafasi zinazopwaya....
Hakika tulikua na msimu Bora Sana, na tumepata mafanikio makubwa Sana lakini tunatakiwa kufanya makubwa zaidi.
Karibu mwananchi mwenzangu tujadili maboresho na mapendekezo ambayo tunapaswa kufanya ili msimu ujao tufike Fainali ya CAF Champions League...
View attachment 2645534View attachment 2645536