Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
- Thread starter
-
- #41
Roman reigns the big dog style yke ya super man punch ni shida hyu jmaa kwangu mm atakuwa best of all time superstar ktk wwe
Moose & The Undertaker
Mysterio sidhani kama kuna mtoto alikua hampendi Theme song yake tuu
Puyaga...puyaga..Rey Mysterio....
Moose & The Undertaker
Umenikumbusha my favourite wwe superstar from [emoji1207] rip Omaga[emoji1373]
Where is he now?
niliacha kuangalia baada ya triple h kupigwa r k o na randy kisha akachomoa ya pili nikaona hii miyayusho ukipigwa r k o means limeisha ila yeye aligomaBob Lashley lile bega tu kwanza limejaa nyama plus speed Spear lazima ikusombe hata 10
Jamaa saiv ananyanyasa TNA Impact
Kuna the game by triple h.. Dah enzi enzo mieleka ilikuwa na wababe kweli
Ipo go to sleep... Ilikuwa finisher htr
Hapo juu kjna unasema spear -edge ni ilikuwa tamu.. Hahah hapana asee kuna mnyama Goldberg alikuwa na spear matata
niliacha kuangalia baada ya triple h kupigwa r k o na randy kisha akachomoa ya pili nikaona hii miyayusho ukipigwa r k o means limeisha ila yeye aligoma
chris umri umeenda nae atundike daruga
Bob lashly hafai Yule spear ya kibabe...
Dah siku hizi mieleka warembo wengi
Unamkumbuka mzee wa kupandisha mashetani HULK HOGAN [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mr kene anatumia Chockslam kama finishing style yake japokua wakati mwingine akipanda hasira antumia Tombstone Piledriver
watu wa fujo ndio walikua wanangu kipindi kile combo ya DXHahahahah, ukichomoa ndio utamu wenyewe wa mechi
Kiukweli Chriss umri umeenda
Ila kuna huyu kijana anaitwa kobain i think a lone wolf alipigana na danny ambrose juzi ana finishing nzuri sana sema siijui jina
Ila ile suplex city ya lesner lazima uwe mtepemtepe