Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KeeeeneeeeeeeedyThe undertaker alikuwa anatumia staili iliyokuwa inaitwa MSUMARI,
Kumtaja undertaker bila CANE ni sawa na kutaja pilau bila kachumbari,
DX a.k.a D generation, mzee mwenyewe SCHWAN MICHAEL na TRIPLE H huyu jamaa huwa harudi nyuma hata muwe 50,
Napenda sana style za mistaaaaaaaaa kene................... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] anayejua anisaidia kujaza hapo [emoji115] [emoji115] juu kwenye gap
HUKU MSIMAMIZI SIO JECHAMi mpira siupendi kabisa
WWE nilikuwa naipenda sana ila nilisikia tetesi eti kumbe mshindi wanakuwa washamchagua kabla hata mechi haijaisha
[emoji818] [emoji818] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Keeeeneeeeeeeedy
Nimeona jana smackdown kampiga danny ambrose kwenye street fight....ni kama rematch ya wreslemaniaAnaitwa Baron Cobin finishing style yake inaitwa End of Day
They are professional trained performers.Huwa nawaza kama mshindi anakuaga ameandaliwa inakuaje sasa mtu kama brock lesnar na hasira zake zote mpk huwa ana loose control akubali kupigwa na mtu kama cm punk! Hapa kwny kupanga mshindi kuna ukakasi, bado siamin km mshindi hupangwa[emoji36]
Yah ni kweli. Pale wanafata "script" so kama umepangiwa upoteze match then unatakiwa upoteze.Mi mpira siupendi kabisa
WWE nilikuwa naipenda sana ila nilisikia tetesi eti kumbe mshindi wanakuwa washamchagua kabla hata mechi haijaisha