Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Kweli kweli. Siku izi wanazingua sana.
Bifu za kipindi kile ni shida...kumbuka 2003/2004 bifu ya BILL GOLDBERG na EVEOLUTION...
Ukija huku kuna KURT ANGLE v EDDIE GUERERO V Chis BENOIT.
Ukija RAW kuna wakina BOOKER T...
Ukija Smackdown kuna bifu ya BROCK LESNAR na Big SHOW
Yani WWE ilikua WWE kipnd icho
Daah mkuu umenikumbusha ilikuwa triple threat match kati ya Kane Goldberg na triple H wanagombania heavyweight ....ile mechi alikuwa anashinda Kane sema triple h alisaidiwa na evolution ambayo ilikuwa na Batista randy na yule babu aliyestaf
 
Haha mkuu old is gold asee.
Evolution walimbeba sana Triple H.
Kuna Elimination chamber moja hivi ilifanyikaga ebwana evolution walimfunga cheni goldberg walimpa kipigo nusu wamuue.
 
Script
dffb5ac651f68e09974ef6c931621c72.jpg

63633b3cf9e3feceb2f2202906301dea.jpg

79670eac83e08089892fca2c8172918c.jpg
 
1.Matt Hard & Jeff Hard
2.Unertaker
3.Batista
4.Ray Mysterio
5.Shawn Michael
6.John Cena
8. Roman Empire

Kwangu hii ni list bora
 
The undertaker alikuwa anatumia staili iliyokuwa inaitwa MSUMARI,
Kumtaja undertaker bila CANE ni sawa na kutaja pilau bila kachumbari,

DX a.k.a D generation, mzee mwenyewe SCHWAN MICHAEL na TRIPLE H huyu jamaa huwa harudi nyuma hata muwe 50,

Napenda sana style za mistaaaaaaaaa kene................... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] anayejua anisaidia kujaza hapo [emoji115] [emoji115] juu kwenye gap
Mkuu hivi huyo Cane anaundugu wowote na undertaker?
 
Mkuu hivi huyo Cane anaundugu wowote na undertaker?
Hapana hakuna undugu wowote in real life ....sema inafahamika one of the best tag team in wwe history that's why peoples say that.....call em brothers of destruction despite of using same finishing move like choke slam and tombstone piledriver
 
H
spear tamu ilikua ya bob lash hata mkiwa 10 anawazoa wote
ila vicky guererro alipata tabu sana na under taker

chriss jericho alikua ndio mwanangu
Hivi vick guererro amepotelea wapi
 
Mm nalipia dstv kifulushi cha 122500 ila sijapata chanell inayoonesha WWE naombeni msaada maana kuna chanel nyingi hata nachanganykiwa
 
Back
Top Bottom