Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Yah ni kweli. Pale wanafata "script" so kama umepangiwa upoteze match then unatakiwa upoteze.

Angalia UFC ipo fresh sana hasa HEAVYWEIGHT na LIGHT HEAVYWEIGHT, WWE ni kwa ajili ya watoto.
Btw WWE ishafulia now...WWE ilikuaga 2008 kurudi nyuma.

imefuliaje? unaifuatilia mkuu?
 
They are professional trained performers.
Moves zote wanazofanya wanasaidiana ili ionekane ni kweli kitu kinafanyika kwa nguvu sana, ule ulingo si mgumu kama unavyodhani pamoja na kwamba huwa sometimes wanaumia sana lakini wanajua namna gani ya kupigana na watu waone ni kweli jambo linafanyika na kuumizana.
Kwa mfano:
Mtu akirusha ngumi anatakiwa akunje sura ile kuwashilia kuwa anatumia nguvu kuirusha... vile vile anaepigwa anatakiwa aoneshe kuwa nguvu imetumia hivyo kwa pamoja akipigwa ngumi nae anajiangusha au anarudi nyuma kwa kupepesuka kuonesha uhalisia wa jambo.

Pia mtu anaepiga ngumi huwa anapiga miguu chini ili ionekane ni ngumi inatoa kishindo kikubwa kumbe ni miguu ila hii inafanyika kwa pamoja hivyo mtu si rahisi kugundua.

Ulingo umefungwa microphone ambazo zimeunganishwa kwa speaker hivyo mtu akianguka kishindo kinakuwa kikubwa kuonesha impact kubwa ku prove hili ni kwamba hata waangaliaji wote ndani ya ukumbi wakishangilia sauti ya kishindo kutoka ulingoni husikika.

Mshindi anakuwa amepangwa na refarii ndo mwongozaji kuhakikisha hilo linafanyika tena kwa usahihi na muda uliopangwa. N:B huwa mapambano yanapangiwa muda wa kuisha kama dakika 5 , 10 n.k.

Its real intertainment kwamba kinachotokea kinakuwa kimepangwa na jambo linafanyika na watu wakiona.

Wanasaidiana kuhakikisha mtu anaepigwa haumii au akipata maumivu ni kidogo.

Tombstone/ msumari ya undertaker kichwa cha anaepigwa hakibamizwi chini kama unavyoona, mtu anaepiga tombstone anatakiwa ahakikishe kichwa cha anae pigwa kiko juu kidogo ya magoti na anamshikilia kwa nguvu na anae pigwa anamshikilia mgongoni kwa nguvu zote ili asiteleze au kupigizwa chini kweli, kile kishindo kinachotokea kinatokana na magoti ya undertaker kupiga chini kwenye ulingo na si kichwa. Baada ya kupiga tombstone anamuachia kwa kumpeleka mbele ili aangukie mgongo ndo tombstone inakuwa imekamilika.

Chokeslam/ kumnyanyua mtu kwa mkono mmoja na kumpigiza chini ...
Anaenyanyuluwa anajinyanyua ili iweze kufanyika na kumfanya anaenyanyua aonekane ana nguvu nyingi kweli za kumnyanyua mtu kwenda juy kiasi hicho kwa mkono mmoja. Kinachofanyika ni anaenyanyua anamvuta kwa chini kidogo anaenyanyuliwa ili kumuashiria ajianze kujirusha ili wafanye kwa pamoja kunyanyuliwa na yeye kujinyanyua .

Wanamieleka ni wananguvu kweli ila mengine yanafanyika kwa kusaidiana na kurahisishiana.

Umeeleweka ila bado unakua mzuroi kuangalia
 
imefuliaje? unaifuatilia mkuu?
Hamna kitu nilikua napenda kama WWE yani nilikua addicted.
Hao wapumbavu walivoanzisha iyo PG-Era ndo nikastop kufatilia.
WWE ilikua enzi zile bhna
Huku Edge v Randy
Edge v Cena
randy v cena

Niliacha kufatilia rasmi WWE 2008 december kwenye Armageddon pale Jeff Hardy alivoshinda WWE title.
Very best moments asee.
Now ngoja tucheki UFC.
 
niliacha kuangalia baada ya triple h kupigwa r k o na randy kisha akachomoa ya pili nikaona hii miyayusho ukipigwa r k o means limeisha ila yeye aligoma
chris umri umeenda nae atundike daruga
Jumapili Triple H alichezea kichapo toka kwa Seth Freakin Rorens....
 
Watu wengi wanacontradict kati ya tombstones na piledriver ....hizi ni finishing move mbili tofauti ....tombstones inatumiwa na watu wawili tu na haruhusiwi mwingine kutumia wanaotumia ni undertaker na Kane ....a.k.a brothers of destruction... Lakin piledriver imepigwa banned na ni very dangerous than tombstones ......also I like spear na RKO ya rand, pedigree ya HHH na chokeslam
 
Finishing ile ya UNDERTAKER inaitwa ivo ivo TOMBSTONE PILEDRIVE.
Umeanza kuchek WWE jana itakua
 
Naomba nimalize mzozo wa spear kama ifuatavyo...
1.Goldberg
2.Bob lashley
3.batista
4.edge
 
Kati ya Brock Lesnar na Goldberg nani alipigwa katika wrestlemania?
 
Yah ni kweli. Pale wanafata "script" so kama umepangiwa upoteze match then unatakiwa upoteze.

Angalia UFC ipo fresh sana hasa HEAVYWEIGHT na LIGHT HEAVYWEIGHT, WWE ni kwa ajili ya watoto.
Btw WWE ishafulia now...WWE ilikuaga 2008 kurudi nyuma.
Kuna kipindi nilisubscribe WWE YouTube ila hamna lolote la maana,hainogi kama enzi hizo
Nilishaachanana na habari za mieleka siku hizi
 
Yani kipindi icho WWE ilikua WWE kweli..
Pale Orton huku Edge huku Cena huku jbl huku DX huku huko ECW kulikua na CM PUNK na Bob Lashley kibabu lashley na Hoornswaggle na kina chavo guerrero.
Ukija smackdown kuna kina undertaker,
Saivi hamna kitu vile vizazi vishapotea.
Randy na Cena umri unawatupa sasa ingawa they are there to stay

The Edge aliishia wapi? Rand Orton na Cena wana umri gan? Imagine U/taker ana 52
 
Guys, Hivi ilikua imepangwa kabsa Roman Reign ampige Undertaker? [emoji31]
Yes, kwenye script ilikuwa hivyo script ya wwe wrestlemani 33 ili kuwa leak deadman atapigwa then ata retied hivyo kwa Goldberg atapigwa na lesnar unaweza kuingia YouTube utaona
 
Yah ni kweli. Pale wanafata "script" so kama umepangiwa upoteze match then unatakiwa upoteze.

Angalia UFC ipo fresh sana hasa HEAVYWEIGHT na LIGHT HEAVYWEIGHT, WWE ni kwa ajili ya watoto.
Btw WWE ishafulia now...WWE ilikuaga 2008 kurudi nyuma.
Kweli siku hizi si-enjoy kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.. mapambano hayana mvuto.. na storylines hazisomeki..

Kumbuka rivalry kati ya undertaker & kane, rivalry kati ya stonecold steve austin na the rock, edge na undertaker etc bifu linakuwa la ukweli na lenye msisimko.
 
Kweli kweli. Siku izi wanazingua sana.
Bifu za kipindi kile ni shida...kumbuka 2003/2004 bifu ya BILL GOLDBERG na EVEOLUTION...
Ukija huku kuna KURT ANGLE v EDDIE GUERERO V Chis BENOIT.
Ukija RAW kuna wakina BOOKER T...
Ukija Smackdown kuna bifu ya BROCK LESNAR na Big SHOW
Yani WWE ilikua WWE kipnd icho
 
The Edge aliishia wapi? Rand Orton na Cena wana umri gan? Imagine U/taker ana 52
Edge aliumia so akaamua astaafu. Randy ni mtu wa 1980 sema kaanza game mdogo sana so anaokena kama "young veteran"..
Cena wa 1977 kama sijakosea.
Sema Cena na Randye walianza wakiwa wadogo ndo mana wanaonekana wakongwe ila kiumri sio
 
Yes, kwenye script ilikuwa hivyo script ya wwe wrestlemani 33 ili kuwa leak deadman atapigwa then ata retied hivyo kwa Goldberg atapigwa na lesnar unaweza kuingia YouTube utaona
Ukiingia Youtube ndo utaona iyo "script" sio?
 
Back
Top Bottom