Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Kuna the game by triple h.. Dah enzi enzo mieleka ilikuwa na wababe kweli

Ipo go to sleep... Ilikuwa finisher htr
Hapo juu kjna unasema spear -edge ni ilikuwa tamu.. Hahah hapana asee kuna mnyama Goldberg alikuwa na spear matata
 
Bob Lashley lile bega tu kwanza limejaa nyama plus speed Spear lazima ikusombe hata 10

Jamaa saiv ananyanyasa TNA Impact
niliacha kuangalia baada ya triple h kupigwa r k o na randy kisha akachomoa ya pili nikaona hii miyayusho ukipigwa r k o means limeisha ila yeye aligoma
chris umri umeenda nae atundike daruga
 
Kuna the game by triple h.. Dah enzi enzo mieleka ilikuwa na wababe kweli

Ipo go to sleep... Ilikuwa finisher htr
Hapo juu kjna unasema spear -edge ni ilikuwa tamu.. Hahah hapana asee kuna mnyama Goldberg alikuwa na spear matata

Go To Sleep (GTS) by Cm Punk
 
niliacha kuangalia baada ya triple h kupigwa r k o na randy kisha akachomoa ya pili nikaona hii miyayusho ukipigwa r k o means limeisha ila yeye aligoma
chris umri umeenda nae atundike daruga

Hahahahah, ukichomoa ndio utamu wenyewe wa mechi

Kiukweli Chriss umri umeenda
 
CM Punk namkubali sana na staili yake ya gts kama sijakosea, alimtesa sana Block Lesnar! Enzi hizo bifu la CM punk vs Lesnar limekolea, ule mwili mkubwa ulikuwa unapata shida sanaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cm punk yule mtoto alikua nuksiiiii[emoji51][emoji51][emoji51]
Nataman a-settle mambo yake na managent ya WWE arud kwny Game
 
Mr kene anatumia Chockslam kama finishing style yake japokua wakati mwingine akipanda hasira antumia Tombstone Piledriver
Unamkumbuka mzee wa kupandisha mashetani HULK HOGAN [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwa nawaza kama mshindi anakuaga ameandaliwa inakuaje sasa mtu kama brock lesnar na hasira zake zote mpk huwa ana loose control akubali kupigwa na mtu kama cm punk! Hapa kwny kupanga mshindi kuna ukakasi, bado siamin km mshindi hupangwa[emoji36]
 
Hahahahah, ukichomoa ndio utamu wenyewe wa mechi

Kiukweli Chriss umri umeenda
watu wa fujo ndio walikua wanangu kipindi kile combo ya DX
kisha mr macmen
babu finley
akaja edge na wanae
randy orton akawa kiboko ya mabishoo wote wwe
 
Ila kuna huyu kijana anaitwa kobain i think a lone wolf alipigana na danny ambrose juzi ana finishing nzuri sana sema siijui jina

Anaitwa Baron Cobin finishing style yake inaitwa End of Day
 
Taker alikua na triangle flani hivi anajifanya kasizi ukimsogelea anakudaka mkono na kukubana shingo kwa miguu na huchomiki...mtu wa kwanza kupigwa alikua ni Big Daddy V hadi alitokwa dam mdomoni...siikumbuki jina bt nadhan alikatazwa kuitumia hiyo style...will miss u the deadman Mark Callaway.
 
Back
Top Bottom