Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Tatanka
Macho man
Randy Savage...dah jamaa alikuwa hatari ila aligombana na Vince McMahon and Hulk Hogan jamaa alichelewa sana kuwa inductee kwenye wwe Hall fame mpaka stone cold Steve Austin alimaindi sana Vince ndo jamaa akawa inductee. R.I.P Macho Man "Randy Savage".
 
Kumbe kuna maraia wengi bado wanapenda hii kitu WWE ni kama soka vizazi vinabadilika.... Angalia NXT na WWE 2O5 kuna vipaji vinakuja hata wakina ROMAN REIGN watapotea
 
Wapenzi wa WWE tuendeleane kupeana updates zote za raw, smackdown na PPV zote...kwenye RAW wiki hii kutakuwa na wwe superstar shakeup
 
Jef Hardy alivokua anapaa without wing's,noma xana,HBK na stail yake ya kupiga juu ya kifua noma xana,Rey mastirio basi tu.
 
Chokeslam by kane, undertaker and big show.

Go to sleep by cm punk.

619, swing by antonio cessaro, rock bottom by the great one, nimeisahau jina ila ni ya wytt family, zipo nyng nimesahau tu ila nayoipenda zaidi ni chokeslam hadi niliifanyia mazoezi nikaijua.
 
Daah me napenda sana spear yani .....nataman kumpiga mtu sema bac tu .....ila choke slam inabidi uwe na nguvu ya mkono mana c unaona ata wanaotumia hiyo akina Kane taker big show yamepanda hewani kono ni kono kwel
 
Ni kweli chokeslam lazima uwe umeenda hewani kidogo na uwe na nguvu.

Mimi ni mrefu ila sio kama wao, wao ni futi saba na ushee, mimi ni futi 6.2, napenda hasa double chokeslam, napenda sana wwe
 
Batista bomb- Batista
Choke slam- Big show
World strongest slam- Mark Henry
 
Haha Macho Man alikua anajifanyaga mbabe ila alipigwa na Ultimate Warrior kama mtoto yani
 
Acha story za vijiwe vya kahawa ndugu, watu wanavunjana mifupa, wapo wanaofia ulingoni wewe unasema maigizo ?

1. Ulishawahi angalia stil cage match
2.TLC -tables,ladders and chairs
3.,.....
4.......

Acha utani
 
Wwe naipenda sana ..my best 3 all time wrestlers... Taker Kevin Nash rand Orton
 
RKO hapo ndo kiboko sijawah kua shabiki la randy ila anapokua ulingoni na mtu nnae mkubali huwa nahofia sana hii style
 
RKO hapo ndo kiboko sijawah kua shabiki la randy ila anapokua ulingoni na mtu nnae mkubali huwa nahofia sana hii style
Mkuu kama ukicheki royal rumble ya mwaka huu ulingoni walikuwa wengi akina Goldberg taker Brock lesnar lakin wote walitoka caca wakabaki wawili tu roman reigns na rand ...Daah roman alimvizia ili ampige spear bana weeh rand mjanja sana alimpokea na bonge LA RKO na kushinda .....ila kiboko ya rand aligongwa adi uruma kwny summer slam na Brock lesnar adi mechi ikahirishwa I think last year au earlier this year .....Shane McMahon akaingilia akapigwa suplex city babake.....kwa sasa hakuna anayempiga Brock lesnar .....
 
Acha story za vijiwe vya kahawa ndugu, watu wanavunjana mifupa, wapo wanaofia ulingoni wewe unasema maigizo ?

1. Ulishawahi angalia stil cage match
2.TLC -tables,ladders and chairs
3.,.....
4.......

Acha utani
Hata wacheza movie huwa wanaumia na kuvunjika wakati mwingine hata kupiteza maisha wakiwa maigizoni.

Kinachofanyika ni live na watu wanaona lakini lengo si kuumizana lengo ni ku intertain tu ila ajali zinatokea.
 
Check channel e tv channel 250
Ni mda gani wanaonesha mkuu huwa naibahatisha nilikuwa nilidhani wana chanel special ambayo wanaonesha kwa kila siku kama ilivyo kwenye cable kuna chanel ya ten sport wako poa hadi najuta kwanini sijaweka cable
 
Sasa hivi naona channel e wanaonyesha marudio ya wrestlemania XXXIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…