Kwa wapenda utani, ingieni hapa tuliwazane mawazo!?

Kwa wapenda utani, ingieni hapa tuliwazane mawazo!?

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Habarini wadau

Katika hospitali moja ya vichaa daktari anaehusika hapo alipokuwa katika mizunguko yake kuhudumia wodi za machizi, chizi mmoja alichomoka kutoka chumba kimoja ameshikilia kisu, daktari kuona hivyo akaona ndio mwisho wa maisha yake ikabidi akimbie ila kwa bahati mbaya alipokimbilia kulikuwa hakuna njia kuna ukuta hivyo ikabidi dokta apige magoti aombe dua ya mwisho
Ile chizi alipomfikia tu akasema 'haya shika kitu ni zamu yako kunifukuza'[emoji13] [emoji13] [emoji12]

Wehu hauachagi watu salama.


Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza sauti ya jenereta langu [emoji4] akidhani yuko club,
Namsikia akisema' aisee we ni DJ nomaaa! '
Baada ya kuzima jenereta akaniuliza' huo muziki kaimba nani?! '[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji28]

[emoji482] [emoji482] Pombe siyo chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAISHA BWANA.....!!!!!

Ghafla umeme unakatika, mzazi anakuambia utafute kiberiti uwashe taa na we unamuambia awashe taa ndo uone kiberiti uwashe taa, unalimwa kofi unajiuliza amekuona vipi? [emoji12] [emoji28] [emoji28] [emoji134] [emoji134]
# AfricanMums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom