Kwa Wapendanao tu..

Kwa Wapendanao tu..

Raha ya penzi liwe mutual, sio mashaka kama unaoga nje.

Mi nimejipata, ila hiyo siku si mmesema itakuwa Kwaresma jamani? Itakuwaje sasa mi kaka mzuri wangu ni churchman 🥹🥹
Kabisa raha ya penzi wote mpendane mahaba muoneshane, penzi la wizi la kufichana kama vipisi vya bangi halinogi,

Kama ni mkatoliki huna namna zaidi ya kutulia kwa huzuni 🥲[emoji1]
 
Back
Top Bottom