Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Mungu mwema naendelea vizuri, dozi gani tena hiyoNaendelea poa namalizia dozi yng sa nne leo.. hofu ni kwk mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mwema naendelea vizuri, dozi gani tena hiyoNaendelea poa namalizia dozi yng sa nne leo.. hofu ni kwk mkuu?
Ila najua wewe huwezi enda hiyo ibada.Plus Ash Wed..
Kwa sababu zipi za msingi?Ila najua wewe huwezi enda hiyo ibada.
Mungu alinikumbuka kiumbe chake na malaria one timeMungu mwema naendelea vizuri, dozi gani tena hiyo
Pole sana aiseeMungu alinikumbuka kiumbe chake na malaria one time
Ahsante.. Mungu ni mwemaPole sana aisee
Culture Me ni ke au me?Khe! [emoji2296][emoji1787]
Sawa mtumishi tukutane ibadaniKwa sababu zipi za msingi?
Ndio ndio.Hahahahaha kwa hy ndio immepitisha thawadi hizo mtuletee ?
Valentine huko kwa wazungu bn kinongonyoso hii ni siku ya kumbomoa Binti wa watu mpaka akose hamu ya kula
Kama wako ni mgonjwa mtibu mapema siku hyo ni nyama Kwa nyama mnofu kwa mnofuSiku ya kupeana ukimwi na gonno sugu,au sio[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Valentine huko kwa wazungu bn kinongonyoso hii ni siku ya kumbomoa Binti wa watu mpaka akose hamu ya kula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kufichana km bangi hapoooo.Kabisa raha ya penzi wote mpendane mahaba muoneshane, penzi la wizi la kufichana kama vipisi vya bangi halinogi,
Kama ni mkatoliki huna namna zaidi ya kutulia kwa huzuni 🥲[emoji1]
Ndio nini hiyo single sugu?Single sugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo wengi mkuuHuu uzi na hiyo siku naona vyote havinihusu
Ni full package, inategemea unamtaka nani [emoji851]Culture Me ni ke au me?