Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Mimi ni mmoja wa watu ambao wanapenda sana kuangalia animation kuliko hata hizi filamu za kawaida. Basi kama kuna wadau kama mimi, tunaweza kutumia uzi huu kushirikishana.

Mimi binafsi naipenda sana "The Star". Huwa nairudia mara kwa mara ili tu nizione mbwembwe za njiwa Dave na rafiki yake Punda.
 
1. Coraline, japo inatisha




2. Kuna ya ile kimbwa stering ana alama ya umeme ubavuni...Bolt




3. Ile ya nyumba inapaa na maputo...inaitwa UP



4. RIO



5. Moana



6. Frozen



7. Monsters vs Alliens




8. Ile ya nyumba inameza watoto wakati wanaufuata mpira....Monster House




9. Ile ya mvua ya vyakula. Cloudy with a chance of Meat balls



10. The Good Dinosaur, inasikitisha sana



11. Trolls




12. The Croods




13. The Princess and the frog



14. Epic




15. The secret life of Pets


Hizo ndo animation movie ambazo sichoki kuzitazama.
 
railph breaks the internet
 
[emoji23][emoji23] Kwenye Star namkubali yule kondoo na kuna Ngamia mmoja kati ya wale watatu anapiga kelele hata eneo la hatari !

Tafuta pia 'Charming (2018)' utanipa mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…