Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Sawa. Lakini makampuni yapo mengi kwangu napenda zaid DreamWorks na hawa Disney Film wako vizuri, umeicheck Coco (2017).
"Coco" film moja nzuri sanaaa
IMG-20180810-WA0004.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mmoja wa watu ambao wanapenda sana kuangalia animation kuliko hata hizi filamu za kawaida. Basi kama kuna wadau kama mimi, tunaweza kutumia uzi huu kushirikishana.

Mimi binafsi naipenda sana "The Star". Huwa nairudia mara kwa mara ili tu nizione mbwembwe za njiwa Dave na rafiki yake Punda.
 
1. Coraline, japo inatisha

20190313_112304.jpg



2. Kuna ya ile kimbwa stering ana alama ya umeme ubavuni...Bolt

20190313_112205.jpg



3. Ile ya nyumba inapaa na maputo...inaitwa UP

20190313_112138.jpg


4. RIO

20190313_112101.jpg


5. Moana

20190313_112250.jpg


6. Frozen

20190313_112234.jpg


7. Monsters vs Alliens

20190313_112221.jpg



8. Ile ya nyumba inameza watoto wakati wanaufuata mpira....Monster House

20190313_112151.jpg



9. Ile ya mvua ya vyakula. Cloudy with a chance of Meat balls

20190313_112042.jpg


10. The Good Dinosaur, inasikitisha sana

20190313_112121.jpg


11. Trolls

20190313_114235.jpg



12. The Croods

20190313_115111.jpg



13. The Princess and the frog

20190313_114831.jpg


14. Epic

20190313_115504.jpg



15. The secret life of Pets

20190313_120143.jpg

Hizo ndo animation movie ambazo sichoki kuzitazama.
 
1. Caroline..japo inatisha
2. Kuna ya ile kimbwa stering ana alama ya umeme ubavuni...Bolt
3. Ile ya nyumba inapaa na maputo...inaitwa UP
4. RIO
5. Moana
6. Frozen
7. Monster vs Allien
8. Ile ya nyumba inameza watoto wakati wanaufuata mpira....Monster House
9. Meat ball
10. The Good Dinosaurs, inasikitisha sana

Hizo ndo movie ambazo sichoki kutazama.
railph breaks the internet
 
[emoji23][emoji23] Kwenye Star namkubali yule kondoo na kuna Ngamia mmoja kati ya wale watatu anapiga kelele hata eneo la hatari !

Tafuta pia 'Charming (2018)' utanipa mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom