Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kaka yako Mr Miller ndio ugonjwa wake...nataka apunguze
Kuna mambo mengine ukiyapunguza kwa kaka Mr Miller muonekano wake utapungua yan atakuwa mtu wa stress mana kile alicho kuwa akikitumia kuondoa stress hakipo

Kuwa makin wew ni Mwanamke wenye bahat na Broo ni Mtu mwenye bahat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sasa katika hiyo penguins of madagascar wamekaa wakaamua kwenda mwezini wakajenga roketi wakaseti umbali wakajichanganya wakaangukia ghorofani.

Huko ghorofani kuna paka kakonda ana njaa vibaya sana anawinda hadi njiwa, sasa kamuona Private akapiga "Ooohh food" wakatokea wakina Skipper akamalizia "A buffet"

Mi nacheka vibaya hapo
Sio kwamba unazungumzia Rabid Invasion
 
Back
Top Bottom