Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Hiyo scene ya kwanza inaitwa baby puss, yapili unitajie matukio zaid nitaijua
Tommy na jerry walikua wanaishi nyumba flani hivi ikaja greda ikaibomoa wakaingia kitaa jerry akawa anamfuata tommy tom anamfukuza, akamfuata mwisho akamwachia amfuate. Baada ya muda wakagundua kua wanaongea kama binaadam, wakatambulishana majina. Wakaokotwa na kabinti hivi kalikua kanaishi kwa ndugu yake baba ake kasafir mbali hafu kanateswa. Baaada ya mateso kuzid huyo bint, tom na jerry wakatoroka kumtafuta baba wa huyo binti... Mwisho wa siku ugomvi wa T n j uriludi tena
 
Zootopia naipenda sana hii Movie

https://play.google.com/store/movies/details/Zootopia?id=2qJBtiAcvtw&hl=sw
images-2.jpg
 
moana, how to train your dragon, resident evil vandetta.
 
Back
Top Bottom