Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Hahaha sasa katika hiyo penguins of madagascar wamekaa wakaamua kwenda mwezini wakajenga roketi wakaseti umbali wakajichanganya wakaangukia ghorofani.

Huko ghorofani kuna paka kakonda ana njaa vibaya sana anawinda hadi njiwa, sasa kamuona Private akapiga "Ooohh food" wakatokea wakina Skipper akamalizia "A buffet"

Mi nacheka vibaya hapo
 
Back
Top Bottom