Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine cjui tofauti ya cartoon na animation na kwa kutambua hilo ndio maana mwishoni mwa Uzi nikasema "cartoon na animation", ila ungenipa tofauti ningefurahi pia. The boss baby naikubali pia hizo zingine nitazitafuta.Naona umechanganya katni na animation
Mimi pia ni mdau
Zambezia
Despicable me 1 2&3
Minions
Killer Bean
Up
Incredibles
Brave
Big Hero 6
The Boss Baby
Rango
Puss in Boots
Monster Inc
Frozen
Kung Fu Panda
Mr. Peabody & Sherman
Unamuuliza nani mkuu!?Wew Mpare Wa Wap?
Aaahg! Hizo kwangu sio sana japo nimeziangalia pia.Huwezi kujinasibu kuwa U-mpenzi wa cartoons bila kuitaja series za TOM and JERRY...!!
Naomba tofauti kati ya cartoon na animation mkuu.Mi napenda animation
Mimi pia naomba kupewa tofauti kati ya Animation na 3D cartoons.Naomba tofauti kati ya cartoon na animation mkuu
Aaahg! Hizo kwangu sio sana japo nimeziangalia pia.
Super strikasHizi ndo katuni zangu bora..
Tom and Jerry
Rabbid Invasion
Teenage mutant ninja Turtle..
Fairly Disney
Kungfu Panda..
Rescue Heros
Kuna ile ya wacheza mpira mmoja ana kitana kichwani..
Sofia the First..
Ahsante sana mkuu.Super strikas
Hello guys. Mambo?
Jamanii mm napenda sana kuangalia cartoons pamoja na burudani nyingine nnazozipenda hii nayo ni moja wapo,nimeangalia nyingi Ila ninazozipenda kati ya zile nyingi ni hizi;
*Zootopia
*Moana
*Ice age
*Alvin and the chipmunks
*Shrek
*Cinderella
*Tangled
*Galactic football
*Kilimani sesame
Zingine nimesahau majina yake
Hebu na wewe tupia zako kali ili na sisi tusioziona tuzitafute na tuburudike.
Karibuni wapenzi wa cartoon ñ animation.
RangoHello guys.... Mambo!?
Jamanii mm napenda sana kuangalia cartoons pamoja na burudani nyingine nnazozipenda hii nayo ni moja wapo,nimeangalia nyingi Ila ninazozipenda kati ya zile nyingi ni hizi;
*Zootopia
*Moana
*Ice age
*Alvin and the chipmunks
*shrek
*Cinderella
*Tangled
*Galactic Football
*Kilimani Sesame
Zingine nimesahau majina yake
Hebu naww tupia zako kali ili na sisi tusioziona tuzitafute na tuburudike.
Karibuni wapenzi wa cartoon ñ animation.