Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

The Grinch[emoji173]
Rango
Despicable me zote
The Secret life of Pets
Moana
 
Nina katoto kaliipenda sana hiyo Bolt, niliponunua mbwa akapendekeza jina hilo hilo la Bolt! Mbwa alikuwa noma sana kama Bolt mwenyewe!

Hivi Rango ni animation? My favourite hata leo ipo kwenye pc yangu

Aaaaaaaaaaalviiiiin!! Alvin and the cheapmunk nayo ni animationa! Sizichoki matoleo yake yote 😀😀
Mie kwa kuwa sipendi nyimbonyimbo ndio maana Alvin hainivutii.
Rango ni animation pia, yule mjuzi sasa na mkofia wake.

Yeah, Bolt nzuri sana hasa ukifuatilia toka mwanzo
 
Done it with one bullet, all seven of them



What do you mean who I am? am a fu, douche
 
1. Coraline..japo inatisha
View attachment 1044573


2. Kuna ya ile kimbwa stering ana alama ya umeme ubavuni...Bolt
View attachment 1044569


3. Ile ya nyumba inapaa na maputo...inaitwa UP
View attachment 1044567


4. RIO
View attachment 1044565


5. Moana
View attachment 1044572


6. Frozen
View attachment 1044571


7. Monsters vs Alliens
View attachment 1044570


8. Ile ya nyumba inameza watoto wakati wanaufuata mpira....Monster House
View attachment 1044568


9. Ile ya mvua ya vyakula.....Cloudy with a chance of Meat balls
View attachment 1044564


10. The Good Dinosaur, inasikitisha sana
View attachment 1044566


11. Trolls
View attachment 1044610


12. The Croods
View attachment 1044612


13. The Princess and the frog
View attachment 1044613


14. Epic
View attachment 1044614


15. The secret life of Pets
View attachment 1044615

Hizo ndo animation movie ambazo sichoki kuzitazama.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ila kali kuliko yote ni lile Litutu lilivyomwambia Nick "If you kiss me again, i'll bite your face" halafu likavaa miwani na kufungulia HipHop. Aisee nilichekaa sanaaa.
Hahahha hawa wanaotengeneza hizi wanajua kutuhamisha mawazo hasa. Nikiangalia animation naRelax sana. Hakuna kuona damu Ni huzuni kidogo na kucheka sana.
 
Hao ni wale wanaozungumza kwa maringo kwa kutaja herufi moja moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio hao,Yule ni Flash na Priscilla. Aliniacha hoi wapo slow ila sasa gari Flash anatembea speed nikawa najiuliza hii inawezekana vipi kama kuongea tu hawawezi

Mimi ananichekesha sana Finnick( Little toot toot) yule mtoto au sijui msela wa Nick Wilde "U kiss me goodbye tomorrow I will bite your face off " akawa anaendesha gari kaweka hiphop na miwani yake na alivyo mdogo sijui anakanyaga vipi Accelerator na brakes .

Mwingine ni Yax yule buffalo wa naturalist club ..akiwa anaulizwa maswali na officer Judy akasema hakumbuki anaenda kumuuliza Nangi tembo mama wa Yoga.

Kumbe Nangi ndio zero kabisa lakini Yax anayejibu sahihi anaona nangi ndiye genius. Nilcheka sana hapa Yax anacheka zake eeeeeeeeh "I told u Nangi has a sharp mind like a steel trap "

Dah mwisho kabisa ni Mr Big ...Corleone mwenyewe analindwa na dubu ila ni kipanya sijui na ni feared Mafian boss in the city ..Nick Wilde na utoto wake wa mjini ila alikuwa anamuogopa sana Mr Big.

Dah Director wa Zootopia sijui alifikiria nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sio hao ,Yule ni Flash na Priscilla ...Aliniacha hoi wapo slow ila sasa gari Flash anatembea speed nikawa najiuliza hii inawezekana vipi kama kuongea tu hawawezi

Mimi ananichekesha sana Finnick( Little toot toot) yule mtoto au sijui msela wa Nick Wilde ..." U kiss me goodbye tomorrow I will bite your face off " akawa anaendesha gari kaweka hiphop na miwani yake na alivyo mdogo sijui anakanyaga vipi Accelerator na brakes .

Mwingine ni Yax yule buffalo wa naturalist club ..akiwa anaulizwa maswali na officer Judy akasema hakumbuki anaenda kumuuliza Nangi tembo mama wa Yoga ..

Kumbe Nangi ndio zero kabisa lakini Yax anayejibu sahihi anaona nangi ndiye genius ...nilcheka sana hapa Yax anacheka zake eeeeeeeeh "I told u Nangi has a sharp mind like steel trap "

Dah mwisho kabisa ni Mr Big ...Corleone mwenyewe analindwa na dubu ila ni kipanya sijui na ni feared Mafian boss in the city

Dah Director wa Zootopia sijui alifikiria nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Priscilla hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom