Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kikatuni sijui nakionaje.
Umeona eee.
Mie kwa kuwa sipendi nyimbonyimbo ndio maana Alvin hainivutii.Nina katoto kaliipenda sana hiyo Bolt, niliponunua mbwa akapendekeza jina hilo hilo la Bolt! Mbwa alikuwa noma sana kama Bolt mwenyewe!
Hivi Rango ni animation? My favourite hata leo ipo kwenye pc yangu
Aaaaaaaaaaalviiiiin!! Alvin and the cheapmunk nayo ni animationa! Sizichoki matoleo yake yote 😀😀
The legend of Korra. Avatar
Hii ni bonge la series, nimefatilia mwaaa mwiiii
Whaat! Hotel Transylvania Count Dracula braa braa braa.Hizo wala hazinivutii.
Hasa hiyo Puss in boots
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]1. Coraline..japo inatisha
View attachment 1044573
2. Kuna ya ile kimbwa stering ana alama ya umeme ubavuni...Bolt
View attachment 1044569
3. Ile ya nyumba inapaa na maputo...inaitwa UP
View attachment 1044567
4. RIO
View attachment 1044565
5. Moana
View attachment 1044572
6. Frozen
View attachment 1044571
7. Monsters vs Alliens
View attachment 1044570
8. Ile ya nyumba inameza watoto wakati wanaufuata mpira....Monster House
View attachment 1044568
9. Ile ya mvua ya vyakula.....Cloudy with a chance of Meat balls
View attachment 1044564
10. The Good Dinosaur, inasikitisha sana
View attachment 1044566
11. Trolls
View attachment 1044610
12. The Croods
View attachment 1044612
13. The Princess and the frog
View attachment 1044613
14. Epic
View attachment 1044614
15. The secret life of Pets
View attachment 1044615
Hizo ndo animation movie ambazo sichoki kuzitazama.
sausage party ni ya kijinga sana, sijaelewa kwanini waliweka zile scene za erotic!!!Coco
Moana
Rango
Son of big foot
Vampire kid
Crowd
Sausage party
Nick mtoto wa mjini...anakwambiaZootopia nawakumbuka Officer Tutu na Mr Bigg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kali kuliko yote ni lile Litutu lilivyomwambia Nick "If you kiss me again, i'll bite your face" halafu likavaa miwani na kufungulia HipHop. Aisee nilichekaa sanaaa.Nick mtoto wa mjini...anakwambia
"It's called a hustle sweetheart" hahaha [emoji3]
Hahahha hawa wanaotengeneza hizi wanajua kutuhamisha mawazo hasa. Nikiangalia animation naRelax sana. Hakuna kuona damu Ni huzuni kidogo na kucheka sana.Ila kali kuliko yote ni lile Litutu lilivyomwambia Nick "If you kiss me again, i'll bite your face" halafu likavaa miwani na kufungulia HipHop. Aisee nilichekaa sanaaa.
Hapana sio hao,Yule ni Flash na Priscilla. Aliniacha hoi wapo slow ila sasa gari Flash anatembea speed nikawa najiuliza hii inawezekana vipi kama kuongea tu hawaweziHao ni wale wanaozungumza kwa maringo kwa kutaja herufi moja moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Priscilla hahahahahahaHapana sio hao ,Yule ni Flash na Priscilla ...Aliniacha hoi wapo slow ila sasa gari Flash anatembea speed nikawa najiuliza hii inawezekana vipi kama kuongea tu hawawezi
Mimi ananichekesha sana Finnick( Little toot toot) yule mtoto au sijui msela wa Nick Wilde ..." U kiss me goodbye tomorrow I will bite your face off " akawa anaendesha gari kaweka hiphop na miwani yake na alivyo mdogo sijui anakanyaga vipi Accelerator na brakes .
Mwingine ni Yax yule buffalo wa naturalist club ..akiwa anaulizwa maswali na officer Judy akasema hakumbuki anaenda kumuuliza Nangi tembo mama wa Yoga ..
Kumbe Nangi ndio zero kabisa lakini Yax anayejibu sahihi anaona nangi ndiye genius ...nilcheka sana hapa Yax anacheka zake eeeeeeeeh "I told u Nangi has a sharp mind like steel trap "
Dah mwisho kabisa ni Mr Big ...Corleone mwenyewe analindwa na dubu ila ni kipanya sijui na ni feared Mafian boss in the city
Dah Director wa Zootopia sijui alifikiria nini
Sent using Jamii Forums mobile app
The secret life of pets - 'Duke' namkubali sana pamoja na yule sungura kiongozi wa genge la suez [emoji23][emoji23]The Grinch[emoji173]
Rango
Despicable me zote
The secret life of pets
Moana