Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Whaat! Hotel Transylvania Count Dracula braa braa braa...
Kila mtu na upenzi wake my dear.

Mie kwa upande wangu wala hazinivutii kabisa mpwa.

Kuna ambazo nazipenda ila hizo labda nikaanze kuziangalia kwa umakini maana huwa nikiangalia nakuwa na skip skip mpaka the end. Hahaha
 
1. Rio
2. Coco
3. Rango
4. Zootopia
5. Tom & Jerry
6. Despicable Me
7. Kung-Fu Panda
8. Penguins of Madagascar
9. Smurf's: The Lost Village
10. Lion King + Super Mario + Taz-mania + Scooby Doo
 
Kila mtu na upenzi wake my dear.
Mie kwa upande wangu wala hazinivutii kabisa mpwa.
Kuna ambazo nazipenda ila hizo labda nikaanze kuziangalia kwa umakini maana huwa nikiangalia nakuwa na skip skip mpaka the end. Hahaha
Movie zingine unakuta unadownload tu bila kupata review kwa iyo unakuwa huna matarajio yoyote ikiisha ndio unajua ni nzuri au laa, ila ukisoma review unapotea kiasi.
 
Mie vile vinyimbo tu....zaidi ya hapo hakuna
Hahaa sausage party ni 18+ nazipenda scene za douche anapoingia kwenye kapu kwa mbwebwe afu anangalia camel toe, na pale ana mind vitu vimeharibika anaona mzigo unatoweka mlangoni, na ile anamnyonya Juice Box.
 
Movie zingine unakuta unadownload tu bila kupata review kwa iyo unakuwa huna matarajio yoyote ikiisha ndio unajua ni nzuri au laa,ila ukisoma review unapotea kiasi
Hahahah
kama Up na MeatBall, nilianza kuziona uzuri baada ya kuona mwishoni.
 
Hahaa sausage party ni 18+,nazipenda scene za douche anapoingia kwenye kapu kwa mbwebwe afu anangalia camel toe,na pale ana mind vitu vimeharibika anaona mzigo unatoweka mlangoni,na ile anamnyonya juice box.
Yaani iko romantic sana.
 
Back
Top Bottom