Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Wakuu habari za humu,

Okey lengo langu wakuu naitaji Animation nzuri za mwaka wowote ule ili nipate kuziangalia nikipata ata elfu 1000 Animation nikatajiwa itakuwa vizuri sana 🙏
 
Despicable Me 1, 2 & 3.

Madagascar 1, 2 & 3.

Penguins of Madagascar series.

Ugly Duck (Siyo maarufu ila ni nzuri mno)

Finding Nemo.

Home.

Frozen.

Legend Of the Ravaging Dynasty.

Kubo.

Kung Fu Panda 1, 2 & 3.

Toy Story 1, 2 & 3.

Captain Underpants.

Courage Stupid Dog Series.

Lion King ya 2019.

Shrek 1, 2 & 3.

Open Season 1 & 2.

Big Hero 6.

At The Incredibles 1 & 2.

Over the Hedge 1 & 2.

Also Nimegundua kitu ukishtuliwa unaweza jikuta ubongo unakuletea mengi mengi. Nimeona nyingi hizo ndiyo nimeweza zikumbuka kwa ghafla.
 
1:Frozen -dah ni best ASA zle nyimbo zake Kali knoma pili imebeba history nzuri na inasisimua nampenda sana Olaf maneno mengi kwl
2:Moana-nayo songs zake Kali sana history nzr pia asee the rock aliplay part nzr sana kama mouri
3😛eter Pan hii naipenda ni comedy Kali sana
4:The Simpson japo bado cjazmalza
5:The Boonducks hii nataka nianze kuifatilia

Kuna animation moja hv jina nmesahau Ila nakumbuka inaanza watu wanaingia club kufka Dogo ambay ndo star wao katika kukaguliwa na mlinzi wa mlangon yule mlinz alianza kumtaman baada ya kumshika uume wake then baadae alivyoingia ndan yule mlinz almfata Dogo akaenda nae chooni wakaw wanasex but be4 sex kuna vidonge flan hiv walitumia kama madawa vile baad ya apo club ikavamiwa nakumbka ckuimaliziaga kwa mwnye kuijua naomba anitajie jina lake please
 
Mzee hiyo ni Animationi kweli ndo tunawapa watoto wetu waangalie kumbe tuwe Tunaangalia Wazazi kwanza ndo tuwape Wenyewe duuu🤦🤪
 
Eehe chief hiyo ni animation tena sahv zpo kbao adult animation kikubwa kuwa makini tu ucje muonyesha mtoto
 
1:Frozen -dah ni best ASA zle nyimbo zake Kali knoma pili imebeba history nzuri na inasisimua nampenda sana Olaf maneno mengi kwl
2:Moana-nayo songs zake Kali sana history nzr pia asee the rock aliplay part nzr sana kama mouri
3😛eter Pan hii naipenda ni comedy Kali sana
4:The Simpson japo bado cjazmalza
5:The Boonducks hii nataka nianze kuifatilia

Kuna animation moja hv jina nmesahau Ila nakumbuka inaanza watu wanaingia club kufka Dogo ambay ndo star wao katika kukaguliwa na mlinzi wa mlangon yule mlinz alianza kumtaman baada ya kumshika uume wake then baadae alivyoingia ndan yule mlinz almfata Dogo akaenda nae chooni wakaw wanasex but be4 sex kuna vidonge flan hiv walitumia kama madawa vile baad ya apo club ikavamiwa nakumbka ckuimaliziaga kwa mwnye kuijua naomba anitajie jina lake please
Hii peter pan ni ile ya zamani ?
 
Mzee hiyo ni Animationi kweli ndo tunawapa watoto wetu waangalie kumbe tuwe Tunaangalia Wazazi kwanza ndo tuwape Wenyewe duuu[emoji1751][emoji2957]
KunacAnimation na Cartoon, sasa mwanao mpe aangalie Cartoon
 
Wakuu habari za humu,

Okey lengo langu wakuu naitaji Animation nzuri za mwaka wowote ule ili nipate kuziangalia nikipata ata elfu 1000 Animation nikatajiwa itakuwa vizuri sana [emoji120]
Angalia Zootopia
Coco
 
Back
Top Bottom