Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Ila wakuu Moana ndo kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeiona Coco mkuuIla wakuu Moana ndo kali sana
umeiona Coco mkuu
SidhanIla wakuu Moana ndo kali sana
Mzee hiyo ni Animationi kweli ndo tunawapa watoto wetu waangalie kumbe tuwe Tunaangalia Wazazi kwanza ndo tuwape Wenyewe duuu🤦🤪1:Frozen -dah ni best ASA zle nyimbo zake Kali knoma pili imebeba history nzuri na inasisimua nampenda sana Olaf maneno mengi kwl
2:Moana-nayo songs zake Kali sana history nzr pia asee the rock aliplay part nzr sana kama mouri
3😛eter Pan hii naipenda ni comedy Kali sana
4:The Simpson japo bado cjazmalza
5:The Boonducks hii nataka nianze kuifatilia
Kuna animation moja hv jina nmesahau Ila nakumbuka inaanza watu wanaingia club kufka Dogo ambay ndo star wao katika kukaguliwa na mlinzi wa mlangon yule mlinz alianza kumtaman baada ya kumshika uume wake then baadae alivyoingia ndan yule mlinz almfata Dogo akaenda nae chooni wakaw wanasex but be4 sex kuna vidonge flan hiv walitumia kama madawa vile baad ya apo club ikavamiwa nakumbka ckuimaliziaga kwa mwnye kuijua naomba anitajie jina lake please
Eehe chief hiyo ni animation tena sahv zpo kbao adult animation kikubwa kuwa makini tu ucje muonyesha mtotoMzee hiyo ni Animationi kweli ndo tunawapa watoto wetu waangalie kumbe tuwe Tunaangalia Wazazi kwanza ndo tuwape Wenyewe duuu🤦🤪
Hii peter pan ni ile ya zamani ?1:Frozen -dah ni best ASA zle nyimbo zake Kali knoma pili imebeba history nzuri na inasisimua nampenda sana Olaf maneno mengi kwl
2:Moana-nayo songs zake Kali sana history nzr pia asee the rock aliplay part nzr sana kama mouri
3😛eter Pan hii naipenda ni comedy Kali sana
4:The Simpson japo bado cjazmalza
5:The Boonducks hii nataka nianze kuifatilia
Kuna animation moja hv jina nmesahau Ila nakumbuka inaanza watu wanaingia club kufka Dogo ambay ndo star wao katika kukaguliwa na mlinzi wa mlangon yule mlinz alianza kumtaman baada ya kumshika uume wake then baadae alivyoingia ndan yule mlinz almfata Dogo akaenda nae chooni wakaw wanasex but be4 sex kuna vidonge flan hiv walitumia kama madawa vile baad ya apo club ikavamiwa nakumbka ckuimaliziaga kwa mwnye kuijua naomba anitajie jina lake please
YAh ni ya zamanHii peter pan ni ile ya zamani ?
Hii peter pan ni ile ya zamani ?
KunacAnimation na Cartoon, sasa mwanao mpe aangalie CartoonMzee hiyo ni Animationi kweli ndo tunawapa watoto wetu waangalie kumbe tuwe Tunaangalia Wazazi kwanza ndo tuwape Wenyewe duuu[emoji1751][emoji2957]
Nzuri niliicheki zamani sana hii movie 2004 nadhani nilikuwa bado primaryHii peter pan ni ile ya zamani ?
Yah ni vzr mwanae amuwekee cartoon tuKunacAnimation na Cartoon, sasa mwanao mpe aangalie cartoon
Angalia ZootopiaWakuu habari za humu,
Okey lengo langu wakuu naitaji Animation nzuri za mwaka wowote ule ili nipate kuziangalia nikipata ata elfu 1000 Animation nikatajiwa itakuwa vizuri sana [emoji120]