Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tangia naanza kuangalia K-dramaz hizi ndizo nimebahatka kuzioma...
-JUMONG
-EMPEROR OF THE SEA
-THE LAND OF WIND
-THE SLAVE HUNTERS
-EMPRESS KI
-GU FAMILY BOOK
-JOSEON GUNMAN
-KIM SOO ROO
-SWALLOW THE SUN
-GIANT
-49 DAYS
-INSPIRING GENERATION
-BRIDAL MASK
-GHOST
-GOLDEN CROSS
-TEMPTATION OF AN ANGEL
-HEARTLESS CITY
-BOYS OVER FLOWER
-PERSONAL TEST
-FAITH
-TRIANGLE
-ARROW ON THE BOW STRING
-A MAN CALLED GOD
-PAINTER OF WIND
-CITY HUNTER
-..........

nyingine nimezisahau.....
Na sasa naangalia The night Watchman....

Em taja ulizoziona na ww....

tafta slave hunter
 
Drama5 downloader Korean And Japanese Series amd Movies.
Itafuteni humu pia kuna mtu aliiweka siku za nyuma.
 
Aigoooooo uniiiii yaan pesonal taste niliipend mwanzo balaa

gumiho16-00178.jpg

gumiho.png

gumiho 36 ... Vipi wewe una/ imebakia mikia mingapi?!

Anyway, Karibu Korea!
 
Last edited by a moderator:
Ni nzuri kiukweli.Lee Min Ho hakosei huyu jamaa na kale kadada kachizi!

Daaah aiseee mi korean dram zmenilewesh naez angalia bla subtitle maan nshakua mkorea hahhaha na nlivyo uwiiii kaa kwetu vle ata nkisem kwetu hakun atakaebsh
 
Umeiona 49 days duuuh ile ni nzur pia saaan saan saan

Ngoja nikimaliza Personal taste na hii Kim So Roo nitaitafuta.
Wewe hunizidi mimi tena naona wewe bado mwanafunzi kwangu.
Mimi hizi drama/Korean movies nimeanza kuziangalia serious since 2010 na hadi leo hii nimeshaangalia zaidi ya 100!
Kama juzikati nimemaliza Hotel King, My loveable girl,na Hong Gil Dong.Ni juzi tu hata wiki 2 hazijaisha.
 
Duuuuh bas we ni mtata mi nmeanz 2012 yaan ila ni nzur af za kizung cfatlii ckuiz ila wanawez wale ni shiid saa.
 
Duuuuh bas we ni mtata mi nmeanz 2012 yaan ila ni nzur af za kizung cfatlii ckuiz ila wanawez wale ni shiid saa.

Ni shiiidah wakorea wamenikamata haswa.Siko interested na hao wazungu sijui wahindi...
Mimi na wakorea tu.Nawakubali sana.
 
Ni shiiidah wakorea wamenikamata haswa.Siko interested na hao wazungu sijui wahindi...
Mimi na wakorea tu.Nawakubali sana.

Daaah mi ndo nshakua crazy kabsaa maan ad maish nawaig saiv ni mwend wa kula past na kimchi yaan nakul vtu kam wenyw 🙄🙄🙄
 
Ni shiiidah wakorea wamenikamata haswa.Siko interested na hao wazungu sijui wahindi...
Mimi na wakorea tu.Nawakubali sana.

Asa mi ad chakul naig ni mwendo wa past na kimchi naiv ndo nafanana nao uwiiii ntahamia jeju
 
Asa mi ad chakul naig ni mwendo wa past na kimchi naiv ndo nafanana nao uwiiii ntahamia jeju

Hahahahaaa mimi nitahamia Seoul, chezea Korea wewe? Mimi tambi napenda acha tu.
Uwiiiiii! Umenikumbusha mdogo wangu ananipikiaga tamu hizo balaa! Sasa hivi hayupo .........😕😕
 
Hahahahaaa mimi nitahamia Seoul, chezea Korea wewe? Mimi tambi napenda acha tu.
Uwiiiiii! Umenikumbusha mdogo wangu ananipikiaga tamu hizo balaa! Sasa hivi hayupo .........😕😕

Aigoooooooooooo hhhhaaaaa mi naangalia east of Eden kuna shi mhyun ,le dong wook na le dong chui na shi nta iwan ,majina magumu kuyaandika hapo nimejitahidii aiseee kuna jihyun ,nurse mi ae ni balaaaaa
Je the great king ya Daemdok,?
 
Back
Top Bottom