Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aigoooooooooooo hhhhaaaaa mi naangalia east of Eden kuna shi mhyun ,le dong wook na le dong chui na shi nta iwan ,majina magumu kuyaandika hapo nimejitahidii aiseee kuna jihyun ,nurse mi ae ni balaaaaa
Je the great king ya Daemdok,?

Umi umi umi umenikumbush shin ntaiwai
 
Aigoooooooooooo hhhhaaaaa mi naangalia east of Eden kuna shi mhyun ,le dong wook na le dong chui na shi nta iwan ,majina magumu kuyaandika hapo nimejitahidii aiseee kuna jihyun ,nurse mi ae ni balaaaaa
Je the great king ya Daemdok,?

Aigoooo, aigooo!Mimi hadi home utanikuta naongea hivi!
Yeah, East of Eden nzuri jamani yule baba anamtesa nurse wa watu hadi nurse akambadilishia mtoto akawa analelewa na masikini.Halafu bila kujua akawa anamtesa mwanae mwenyewe.
Mimi nampendaje yule mama masikini na uchizi wake? Masikini mumewe alivyouawa na baruti kule mgodini!

Hiyo ni great King Au Quuen Second?
 
Huyu mama episode za nyuma alikua ananiua mbavu aisee,,alivyokufa mmewe akawa anawaambia walie kwa sauti baba yao awasikie looo ana siku hiz vituko kaviacha yule mdogo wake ndio ana vituko hua nachekajee akifika tu anataka kusimulia kitu anaanza aigooooo hhhhhaa
Nasubiri kuona mwisho itakuwaje maana siri ishafichuka Rebecca anataka kuifilisi tae sung mali za shi nta ewan ,yaan kila mtu ye ana kisasi naeee kha????
 
Jaman rebeka au ness jaman ni mzur akiongea mdomo wake tu uwiiiiiiiii
 
Huyu mama episode za nyuma alikua ananiua mbavu aisee,,alivyokufa mmewe akawa anawaambia walie kwa sauti baba yao awasikie looo ana siku hiz vituko kaviacha yule mdogo wake ndio ana vituko hua nachekajee akifika tu anataka kusimulia kitu anaanza aigooooo hhhhhaa
Nasubiri kuona mwisho itakuwaje maana siri ishafichuka Rebecca anataka kuifilisi tae sung mali za shi nta ewan ,yaan kila mtu ye ana kisasi naeee kha????

Mwenzangu utawaweza wakorea kwa visasi? Jamani yule mama alikua ananiua mbavu sana.
Hasa alivyojifungua akawa anaondoka hosp akawa anasema kuwa kila kitu madeni tu hata kujifungua kajifungua kwa mkopo!...lol

Queen Second umeiona? Acha tu wale watu ni balaa.Yule mwizi Jukbang nampenda hatariiiii..
Pamoja na Deokman, bonge Godo, yule mama mwanasheria Mishil,Yushin, Bidam, Archeon Rang, Munno, Chilsuk, Sohwa....
Acha kabisa hii drama naipenda kwelikweli.
 
Hahaaa yaan ilikua shida aiseee waliteseka mno jamaniii,,,hiyo nyingine sijaionaa
 
Ngoja nikimaliza Personal taste na hii Kim So Roo nitaitafuta.
Wewe hunizidi mimi tena naona wewe bado mwanafunzi kwangu.
Mimi hizi drama/Korean movies nimeanza kuziangalia serious since 2010 na hadi leo hii nimeshaangalia zaidi ya 100!
Kama juzikati nimemaliza Hotel King, My loveable girl,na Hong Gil Dong.Ni juzi tu hata wiki 2 hazijaisha.

Ebwana hiyo hotel king ndiyo nataka niitafute nimetoka kumaliza kuangalia Pinochio.
 
Mwenzangu utawaweza wakorea kwa visasi? Jamani yule mama alikua ananiua mbavu sana.
Hasa alivyojifungua akawa anaondoka hosp akawa anasema kuwa kila kitu madeni tu hata kujifungua kajifungua kwa mkopo!...lol

Queen Second umeiona? Acha tu wale watu ni balaa.Yule mwizi Jukbang nampenda hatariiiii..
Pamoja na Deokman, bonge Godo, yule mama mwanasheria Mishil,Yushin, Bidam, Archeon Rang, Munno, Chilsuk, Sohwa....
Acha kabisa hii drama naipenda kwelikweli.

hiyo tamthilia ya huyo nurse inaitwaje!!!!!!

BIDAM baadaya tamthilia ya the great queen seondok ...alijiunga ba jeshi la korea haigizi tena....my favourate.... kama chizi flani ila anakichafua balaaaa

NANI KAIONA "YAKSHA"..... NI BALAAAAAA
 
Hiyo drama ya nurse inaitwa East of Eden.Huko yupo baba yake na Deokman ila kaigiza katili.

Uwiiiiiii jamani Bidam ninavyompenda kumbe ndio maana simuoni tena kwenye movies/drama nyingine? Aigoooo nimeumia sana.
Hata hivyo asante kwa kunijuza.
 
Ebwana hiyo hotel king ndiyo nataka niitafute nimetoka kumaliza kuangalia Pinochio.

Hotel King nzuri wamecheza wale mastar wa kwenye drama nyingine ya muda kidogo lakini nzuri inaitwa My Girl kama umewahi kuiona.
 
Hahahahaha umenikumbsh my girl yu riii alivyokua mjing af muongo muongo
 
Yeah, sasa huyo ndio kacheza Hotel King na mkaka yuleyule.Hii ni mpya imeisha mwishoni mwa mwaka jana.

Mimi kwenye My Girl nilikua nafurahi wale ma Aunty walivyokua wanachambana balaa...mmoja ana wivu kisa mwezie ana mchumba yeye hana...lol
 
Haaaahaaaa ntaitafta af yule anti mwngne bhan na mchumb ake wanapend kunywa chai kweny vle bikombe vimechorwa mdad af kingne mkaka
 
Hotel King nzuri wamecheza wale mastar wa kwenye drama nyingine ya muda kidogo lakini nzuri inaitwa My Girl kama umewahi kuiona.

My Girl sijaiona ila watu wengi wanaisifia hiyo hotel king, nitaitafuta.
 
Back
Top Bottom