Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ni kweli hakuna drama mbaya, ni taste ya mtu tu
 
Vipi ulirudi tena? Mimi pia niliangalia episode mbili za mwenzo nikaifuta...niliporudi tena nilienda nayo kwa speed ya rocket. Chief Kim nayo huwenda nikairudia japo sina uhakika sana
 
Ile ya kim mi ho PANCHIKO Unaweza kusema taste tu au series yenyewe ni mbaya?
Una drama yoyote ya Korea ambayo sio maarufu sana, lakini ni nzuri kwa jinsi ulivyotazama wewe?

Usitaje maarufu maana nyingi zitakuwa ni ambazo nimeziona.
 
Una drama yoyote ya Korea ambayo sio maarufu sana, lakini ni nzuri kwa jinsi ulivyotazama wewe?

Usitaje maarufu maana nyingi zitakuwa ni ambazo nimeziona.
-Incarnation of money
-woman of 99.9 billion
-Watcher
-whisper
-The last
-fates & furious ( Hii ni ya mapenzi ila ina story tamu Sana haina utoto ndio maana nimeikubali)
-dangerous Wife
 
Jaman mtu anifanyie recommendation ya must watch Korean movies plz...
Taja unapenda category zipi , za kifalme , kijasusi ,shuleni ,love story ,family nk ili iwe rahisi watu kukupa list.
 
Huwezi kusema mbaya wakati kuna watu wameipenda
Ishu sio watu kuipenda au kutoipenda hata Adolf hilter pamoja ya kuwa ni kuongozi dictator lakini still alikuwa na watu wanaomkubali pamoja na kuwa na wafuasi but haiondoi kuwa ni kuongozi mmbaya.
 
Ishu sio watu kuipenda au kutoipenda hata Adolf hilter pamoja ya kuwa ni kuongozi dictator lakini still alikuwa na watu wanaomkubali pamoja na kuwa na wafuasi but haiondoi kuwa ni kuongozi mmbaya.
We nae...unapenda ligi! Mambo ya uongozi yapo na standards zake ambazo ni lazima mtu azitimize sasa kwenye drama kila mtu ana kitu chake anachokitafuta, akikipata hicho atasema drama nzuri and vice versa. Usipende kulazimisha mambo watu hatufanani
 
adriz

Wale wengine sio wazungu wa us
Na wengi ni underground, movie wana igiza kihuni afu wanaweka jina zuri na posta inayo vutia uki download una kutana nacho
 
Una drama yoyote ya Korea ambayo sio maarufu sana, lakini ni nzuri kwa jinsi ulivyotazama wewe?

Usitaje maarufu maana nyingi zitakuwa ni ambazo nimeziona.
Japokuwa sijaulizwa:-

  1. Signal - criminal, time travelling
  2. Marry me - family
  3. Jing bi rok - historical
  4. Because this is my first life - rom com
  5. My mister
  6. Tunnel - criminal, time travelling
  7. My lawyer, mr joe season 1
 
Hapa nimetazama drama 2 tu kati ya hizo saba ulizotaja, asante kwa kusaidia licha ya kwamba sikuwa nimekuuliza moja kwa moja.
 
adriz

Wale wengine sio wazungu wa us
Na wengi ni underground, movie wana igiza kihuni afu wanaweka jina zuri na posta inayo vutia uki download una kutana nacho
Wamenifanya nimekosa mzuka kabisa wa movies za kizungu now naona kama katuni tu kama sio Korea napotezea mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…