Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Doctor cha sijui muandishi alitaka kuleta ujumbe gani,its okay to cheat ama. Full kutwist story ya kuibiana Boyfriend kisha Mume
 
Chief kim drama:
Humu ndani bwana mdogo myeongseok amewadanganya sana wenzake na kiswahili chake kisichokuwepo.

Hata mimi mswahili wa asili nimeshindwa kung'amua neno lolote.
🤣🤣🤣
Hizi document sijui wamezitolea wapi
Chief_Kim_S01E19_KimoiTV.com_1.gif
 
Nilicheka sana eneo hilo,wanaipenda Tanzania ila lugha hawaifahamu hata inavyoitwa wanaita Tanzanian
Chief kim drama:
Humu ndani bwana mdogo myeongseok amewadanganya sana wenzake na kiswahili chake kisichokuwepo.

Hata mimi mswahili wa asili nimeshindwa kung'amua neno lolote.
🤣🤣🤣
Hizi document sijui wamezitolea wapi
View attachment 2658727
 
Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sana
Screenshot_20230616-093827.jpg
 
Back
Top Bottom