Kheri007
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 289
- 475
Kwanini bando mzozo ama?Crash landing on you niliipenda sana sikuimaliza hata hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini bando mzozo ama?Crash landing on you niliipenda sana sikuimaliza hata hivyo
Binti wa Yakuza huyo[emoji23]Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sanaView attachment 2659433
Thanks,
Nimeshafikia umri wa kujaribu bahati ya kupendwa na mwanadada ~ kyo~
nahitaji baraka zako kabla sijamtumia love letter
Mie kama mjumbe kutoka kabila la Mohe, ninazifikisha kwa moyo mkunjufu salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Chief wetu.Thanks,
Nimeshafikia umri wa kujaribu bahati ya kupendwa na mwanadada ~ kyo~
nahitaji baraka zako kabla sijamtumia love letter
[emoji1787][emoji1787]wataonesha sura yake kwenye final episode,alikuwa ana vibe sanaMimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sanaView attachment 2659433
Ikoo poaah sema ending wamezingua kinoma 🤦🏿♂️Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sanaView attachment 2659433
Mwanzon alianza vizuri kwamba its not too late to go back for ur dream huku mbele akachanganya madawa😂😂😂Doctor cha sijui muandishi alitaka kuleta ujumbe gani,its okay to cheat ama. Full kutwist story ya kuibiana Boyfriend kisha Mume
Kwani imeshaisha? Mbona nkiri inaonyesha ni ongoing au wao ndio hawajauploadIkoo poaah sema ending wamezingua kinoma [emoji2367]
Ishaisha imeishia ep 14 huko nkiri wameandika fixed (14eps) wameniboa sana walivomalizia hrk hrk🤦🏿♂️Kwani imeshaisha? Mbona nkiri inaonyesha ni ongoing au wao ndio hawajaupload
Polee[emoji1787][emoji1787] sijaangalia ila nahisi huyo baby ni woo do hwan maana kuna clip niliona insta yumo humoBloodhounds
Eiiishhh ni mkono humu ngumi chumaa
Inbeom vile vichwa amempiga my baby in the 2nd episode[emoji24][emoji24]
Wale watoto mapacha kwenye The bad good mother wananipa raha sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Polee[emoji1787][emoji1787] sijaangalia ila nahisi huyo baby ni woo do hwan maana kuna clip niliona insta yumo humo
Ata youtube zipome naweza vipi ku download hizi drama kwenye computer!?
Yule wa kike kama mkubwa anavyoongea anafurahisha ukimkuta na simu anavyoperuzi sasa[emoji23]Wale watoto mapacha kwenye The bad good mother wananipa raha sana [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28] kanamuonea sana kaka yake..sema kaka mtu mpole sana nae. Hatimaye nimemalizaYule wa kike kama mkubwa anavyoongea anafurahisha ukimkuta na simu anavyoperuzi sasa[emoji23]
Tunaisubiria kwa hamu
Season 2