Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sanaView attachment 2659433
Binti wa Yakuza huyo[emoji23]
 
Thanks,
Nimeshafikia umri wa kujaribu bahati ya kupendwa na mwanadada ~ kyo~

nahitaji baraka zako kabla sijamtumia love letter

Mie kama mjumbe kutoka kabila la Mohe, ninazifikisha kwa moyo mkunjufu salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Chief wetu.
Hongera sana kaka. Mie nasema Mungu akulinde anakupandishe Viwango.

Kaulimbiu ni Madini yaendelee humu kwenye uzi wetu.
 
Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sanaView attachment 2659433
[emoji1787][emoji1787]wataonesha sura yake kwenye final episode,alikuwa ana vibe sana

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sanaView attachment 2659433
Ikoo poaah sema ending wamezingua kinoma 🤦🏿‍♂️
 
Doctor cha sijui muandishi alitaka kuleta ujumbe gani,its okay to cheat ama. Full kutwist story ya kuibiana Boyfriend kisha Mume
Mwanzon alianza vizuri kwamba its not too late to go back for ur dream huku mbele akachanganya madawa😂😂😂
 
Beauty Of Kdrama

Hadi watoto wanatupa moments nzuri[emoji23]
20230619_200821.jpg
 
Bloodhounds

Eiiishhh ni mkono humu ngumi chumaa

Inbeom vile vichwa amempiga my baby in the 2nd episode[emoji24][emoji24]
Polee[emoji1787][emoji1787] sijaangalia ila nahisi huyo baby ni woo do hwan maana kuna clip niliona insta yumo humo
 
Yule wa kike kama mkubwa anavyoongea anafurahisha ukimkuta na simu anavyoperuzi sasa[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28] kanamuonea sana kaka yake..sema kaka mtu mpole sana nae. Hatimaye nimemaliza
 
Back
Top Bottom