Mkuu hakuna App ambayo naeza kudownload playstore ili niweze kuangalia movie hizi bila kwenda youtube?!maana youtube zingine hazipo,nielekeze please
Bofya hio link kui-download, Mkuu!Mkuu hakuna App ambayo naeza kudownload playstore ili niweze kuangalia movie hizi bila kwenda youtube?!maana youtube zingine hazipo,nielekeze please
Dada nifah naomba mrejesho wa 49 days vp ipo vzr ? Nahitaji niingalie....Ngoja nikimaliza Personal taste na hii Kim So Roo nitaitafuta.
Wewe hunizidi mimi tena naona wewe bado mwanafunzi kwangu.
Mimi hizi drama/Korean movies nimeanza kuziangalia serious since 2010 na hadi leo hii nimeshaangalia zaidi ya 100!
Kama juzikati nimemaliza Hotel King, My loveable girl,na Hong Gil Dong.Ni juzi tu hata wiki 2 hazijaisha.
Ni nzuri sana ila inahitaji umakini wa hali ya juu. Usipepese macho hata sekunde moja maana ukikosa kipengele kidogo tu utashindwa kuielewa series nzima.Dada nifah naomba mrejesho wa 49 days vp ipo vzr ? Nahitaji niingalie....
Hivi eeh? Mimi sijaweza kugundua hivyo kwa sababu ndo tabia yangu ninapoangalia muvi yoyote, yaani huwa nakodoa kwa asilimia 100 sipitwi hata sekunde...mtu akinisemesha nikapitwa kidogo narudisha tenaNi nzuri sana ila inahitaji umakini wa hali ya juu. Usipepese macho hata sekunde moja maana ukikosa kipengele kidogo tu utashindwa kuielewa series nzima.
Ni moja kati ya series ngumu sana,inahitaji utulivu wa akili.
Enjoy it.
Bora series nyingine ila sio hii jamani! Nilikuwa naangalia na The bold ilimpita kidogo hakuweza tena kuielewa hadi akaiacha.Hivi eeh? Mimi sijaweza kugundua hivyo kwa sababu ndo tabia yangu ninapoangalia muvi yoyote, yaani huwa nakodoa kwa asilimia 100 sipitwi hata sekunde...mtu akinisemesha nikapitwa kidogo narudisha tena
Hatari sana jamani hawa wakorea wanachotufanyia kwa kweli Mungu anawaonaBora series nyingine ila sio hii jamani! Nilikuwa naangalia na The bold ilimpita kidogo hakuweza tena kuielewa hadi akaiacha.
Mie nikiangalia series huwa naacha mambo yote kwakweli. Kuna kipindi hadi JF niliiacha kwa zaidi ya wiki,sio kwa utamu ule wa good doctor,morim school,the promise n.k
Sasa hivi nimepumzika ndio maana unaniona hapa.
Period
Mamii nimeangalia iris zote,athenna ,city hunter ,good doctor ,doctor stranger ,a man called god,the heirs,Pinocchio,I can hear your voice ,na nimemalizia juzi t Queen of ambition ( hii nimeipnda zaid )Bora series nyingine ila sio hii jamani! Nilikuwa naangalia na The bold ilimpita kidogo hakuweza tena kuielewa hadi akaiacha.
Mie nikiangalia series huwa naacha mambo yote kwakweli. Kuna kipindi hadi JF niliiacha kwa zaidi ya wiki,sio kwa utamu ule wa good doctor,morim school,the promise n.k
Sasa hivi nimepumzika ndio maana unaniona hapa.
Period
Duuuuuh huu sasa mtihani mkuu. Anyways angalia The promise (hii ni ndefu,ina karibia episode 120 na zaidi. Binafsi sijaimaliza hahahaa) angalia Queen Seondeok (second),Kim Soo Ro (hizi ni historical),Morim School,Fashion king,My love from another star,The moon that embraces the sun (ningeshauri uanze na hiyo). Ni best of the bests,ni historical na ni kali sana.Mamii nimeangalia iris zote,athenna ,city hunter ,gooddoctor ,doctor stranger ,a man called god,the heirs,Pinocchio,I can hear your voice ,na nimemalizia jut t Queen of ambition ( hii nimeipnda zaid )
Naomba unipe recommendation yako ni cheki series gn ambayo nitaipnda yenye stories nzur ya kuvutia ...Mimi kawaida sicheki series mpka nipate feedback za watu coz cpnd kuchek series ikaniboa nikaiwacha na ndio maana hizo nilizozicheki yaan zote nimezipnda mno ispokua doctor stranger imeniboa...
Mimi hadi nimeamua kupumzika tu maana nilitaka kuchizika [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatari sana jamani hawa wakorea wanachotufanyia kwa kweli Mungu anawaona
hakuna kitu nakipenda kama hilo cheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hihihiiiheahahaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hukuona mimi nikilalamika hapa jukwaani kuhusu vicheko vyake?
Anakera sana.
Jamaa nilimkubali kwenye Slave Hunters (Chuno) pekee,kwingine ananiboa tu na kicheko chake.hakuna kitu nakipenda kama hilo cheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hihihiiiheahahaha...
jamaa akiigiza yeye serious/yeye comedy.
huyu jamaa ndio nnae mhusudu kuliko waigizaji wote wa kiume korea, Akifatiwa na Lee byun hun wa IRIS 1 ,Masquarede & The Good ,The bad 'The weird...
nawakubali sana.
[emoji23][emoji23]hakuna ya mjini hata moja.hahaaa ni unamkomoa ama ameomba za mjini
basi mimi akicheka nafurahi...Jamaa nilimkubali kwenye Slave Hunters (Chuno) pekee,kwingine ananiboa tu na kicheko chake.
[emoji23] [emoji23]Mimi hadi nimeamua kupumzika tu maana nilitaka kuchizika [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nina Soundtrack ya are you the same - aileeJamaa nilimkubali kwenye Slave Hunters (Chuno) pekee,kwingine ananiboa tu na kicheko chake.
nina Soundtrack ya are you the same - aileeJamaa nilimkubali kwenye Slave Hunters (Chuno) pekee,kwingine ananiboa tu na kicheko chake.
Sikiliza,nenda YouTube search hiyo sound track ukiipata copy link yake kisha uje kushare (paste) hapa na sisi.nina Soundtrack ya are you the same - ailee
nashindwa kuiweka
Thanks u mamyDuuuuuh huu sasa mtihani mkuu. Anyways angalia The promise (hii ni ndefu,ina karibia episode 120 na zaidi. Binafsi sijaimaliza hahahaa) angalia Queen Seondeok (second),Kim Soo Ro (hizi ni historical),Morim School,Fashion king,My love from another star,The moon that embraces the sun (ningeshauri uanze na hiyo). Ni best of the bests,ni historical na ni kali sana.
Ukimaliza hizo nitafute [emoji4]
Karibu.Thanks u mamy