Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hata sikumbuki unaitwaje lohUle wa crying again? Uwiiiiiii naupenda hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sikumbuki unaitwaje lohUle wa crying again? Uwiiiiiii naupenda hatari.
Duuuuuh tatizo natumia App siwezi kuattach audio,subiri siku nikikumbuka nitakuwekea link.Hata sikumbuki unaitwaje loh
mpendwa hii picha kali hatariKuna mtu anaangalia REBEL:THIEF WHO STOLE PEOPLE'S HEARTS?
omo omo omo nilifikiri hii style ninayo peke yangu, ndani ya wiki hii nimejiwekea niimalize THE HEIRS, SECRET pamoja na HWARANG(silla flower boys)
![]()
Hawa wakorea si watu wakawaida halafu hawana ubinafsi, kila mwenye kipaji wanampa nafasi matokeo yake kila siku wanakuja waigizaji wapya, mfano mdogo Park hyung sik kwenye THE HEIRS hakupewa nafasi kubwa sana ila humu kwenye hwarang amepewa nafasi ya second lead actor.
![]()
huyu mwanadada Go ara nimempenda sana kwenye hii hwarang kwa sababu ni mcheshi sana
![]()
kwenye suala la ost natamani mwanadada hyorin afanye collaboration na taeyon, kiukweli huu wimbo wake wa kwenye hwarang unaoitwa become each others tears ni mzuri sana na hata ule Hello goodbye kwenye my love from another star ni mzuri mno
Continue----The accidental couple... Yaani hawa walikosea kabisaaa kuoana [emoji23][emoji23]
----Fashion king... Mwisho wake sijaupenda ila ni nzuri
----Boys over flowers... Baba lao la love stories
----My girlfriend is a guminho... Mysteries! Mkaka kapendana na eight tailed fox anaejigeuza kua human with supernatural powers
----Full house... I love it. Mdada kasafiri kakuta nyumba yao imeuzwa kwa star ikagoma kuondoka so wakaanza ishi pamoja... Its nice! Ishu za contract marriage
----Bridal mask... Its nice ila sio mjini kivilee! Ishu za vigilante
----I am sam... Setting yake ni shuleni... Kuna mwalimu mjinga sana
----Dream High... Struggles in a music school
----To the beautiful you... Its cute
----Stairway to heaven... Ishu za mama wa kambo! Itakuliza
----Secret garden... Love story between a rich guy and a poor girl. A girl hakujua kwamba the guy is rich.
----Roof top prince... Imechanganyika na uzamani kidogo sana.
TO BE CONTINUED
--- Personal taste... Mdada kampangisha mkaka chumba akidhani kua ni gay kumbe lijari. Story yake no more than thatContinue
Hiyo kituu ni nomaaa. Yaani naona kama jumatatu haifiki harakaYes mkuu nipo hapa now wapo eps 12 yani kilq wiki wanarelease two epsd
hahaaa ni unamkomoa ama ameomba za mjiniSunghyunkwang scandal
Jackpot
slave hunters
The legend ( four gods)
Gu family book
Jeon woo chi
Deep rooted Tree
Shine or Go crazy
Maids
Scarlet heart ryeo
joseon Gun man
Iljimae
Scholar who walks the nights
Warrior Dong soo
sword & petal
Heaven mandate
Dr jin
The three muskerteers
Great seer
You are such a morbid!
Yes mkuu nipo hapa now wapo eps 12 yani kilq wiki wanarelease two epsd