Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aisee defendant ni Nzuri, ajabu mm nilimpenda adui zaidi kuliko star, kuhusu missing nine nakuahidi hutojutia maana mimi binafsi naiangalia, ipo vizuri,
aksante mkuu.. maana niliianza nikashindwa hata kuimaliza episode ya 1. nitajaribu tena na tena
 
A man called God ndo best kwangu na haina episodes nyingi kiasi cha kuchosha
 
kupitia thread hii nimeamua kutangaza rasmi ya kwamba nitakapomaliza kuangalia Fated to love you sitaangalia tena drama itakayochezwa na Jang hyuk kwa sababu nimechoshwa na vicheko vyake na nahisi humu kapitiliza. episode ya 1 amecheka kama mara 10.

img_2932.png

nikikumbuka vicheko vya kwenye The merchant Gaekju, shine or go crazy,chunno,deep root tree na humu na hisi balaa.

jang-hyuk-jang-na-ra_1407633752_af_org.jpg
20140824102010_53f93dc9bf812_1.jpg

nimeamua kunyoosha mikono juu kwa huyu mtu wenu.

ila hii drama nimevutiwa zaidi na ost.
Ailee (beyonce wa korea) - good bye my love
jung dongha - destiny sonata
you are my everything -melody day
Labda binaadamu tunatofautiana coz mi huwa napendaga vicheko vyake balaa! Kwenye VOICE hata sijafurahi kivile kwani muda mwingi alikuwa yuko serious! (Kiufupi ile personality yake inanivutia).
 
Chief.Kim.png
Chief.Kim_.png
Wakuu,
Kuna ambae anaangalia "Chief Kim"?
Huwa nachekaga sana pindi Myung Suk anapoongea Kitanzania. Hahaha!
 
iris naona waliiga zaidi kutoka kwa A MAN CALLED GOD hatari hiyo kitu
A man called a god ni ya 2010 IRIS ya 2009 mkuu kwa hiyo kama kuna aliyemuiga mwenzake atakuwa ni A man called a god ingawa binafsi sijaona kama zimefanana hata kidogo zote zina uzuri wake.A man called a god naona imefanana zaidi na city hunter ingawa pia city hunter hadithi yake imechukuliwa kwenye katuni ya kijapan inayoitwa Tsukasa Hojo au city hunter hivyohivyo kwa kiingereza ya tangu miaka ya 90 huko.
 
kupitia thread hii nimeamua kutangaza rasmi ya kwamba nitakapomaliza kuangalia Fated to love you sitaangalia tena drama itakayochezwa na Jang hyuk kwa sababu nimechoshwa na vicheko vyake na nahisi humu kapitiliza. episode ya 1 amecheka kama mara 10.

img_2932.png

nikikumbuka vicheko vya kwenye The merchant Gaekju, shine or go crazy,chunno,deep root tree na humu na hisi balaa.

jang-hyuk-jang-na-ra_1407633752_af_org.jpg
20140824102010_53f93dc9bf812_1.jpg

nimeamua kunyoosha mikono juu kwa huyu mtu wenu.

ila hii drama nimevutiwa zaidi na ost.
Ailee (beyonce wa korea) - good bye my love
jung dongha - destiny sonata
you are my everything -melody day
Aigoo acha kumnyanyapaa Jang Hyuk wangu bhana mi nampendaga[emoji85]
 
Labda binaadamu tunatofautiana coz mi huwa napendaga vicheko vyake balaa! Kwenye VOICE hata sijafurahi kivile kwani muda mwingi alikuwa yuko serious! (Kiufupi ile personality yake inanivutia).
Kweli bhana af hata kwenye Shine or Go crazy hajacheka sana muda mwingi alikuwa serious
 
Utawala wa mfalme gani uliokuvutia katk watawala hawa?
1.jumong
2.daemusin
3.gwanggaeto
4.bojang
5.dae jo yeong
6.gonchogo
7.kim chun chu
8.seon duk
9.krong ryong
10.goong yi
11.wang gun na
12.sejong
 
Utawala wa mfalme gani uliokuvutia katk watawala hawa?
1.jumong
2.daemusin
3.gwanggaeto
4.bojang
5.dae jo yeong
6.gonchogo
7.kim chun chu
8.seon duk
9.krong ryong
10.goong yi
11.wang gun na
12.sejong
Sejong huyu alifanya makubwa sana na aliteuwa watu kulingana na talanta zao na si family status ndio kipindi ambacho kulitokea na mwanasayansi mkubwa kabisa wa Korea na akapata nafasi serikalini japo alipata ugumu kutoka kwa Confucius scholars ambao ndo mfumo uliokuwa unaendesha serikali.

Lakini kwangu Mimi kabisa ni mfalme gwanghae gun wa joseon japo hukumtaja.
 
Wakuu kuna inayoendelea sasa hivi inaitwa REBEL ni balaa
 
Back
Top Bottom