Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sanaaa
Sasa i hope busy schedule wont interfere

Ila wamependeza
Af jisoo ana 28 [emoji15]
[emoji1787][emoji1787] busy schedule hata siyo ya kuuliza ukizingatia hapo mwanamke kutwa kigulu na njia. Ila natumaini watadumu jamani pamoja na yote wamependezana sana. Hapa nilipo najaribu kuimagine ni mazingira gani walikutana hadi wakatengeneza bond kufikia kuanzisha mahusiano sipati jibu [emoji1787] my math is not matching. Au labda wanatokea kijiji kimoja huko kwao[emoji16] sielewi yani

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 

[emoji1787][emoji1787]
Nami nimejiuliza
Ila labda kwenye matamasha au ma award
Jisoo anaigiza pia

Hivi Dae yupo
 
Kuna kazi nilitazama mwaka 2020 inatwa TEARS OF THE DRAGON iliandaliwa na KBS1. Ilitoka mwaka 1996 ina episodes 159. Mie nilitazama mpaka episode ya 53 maana hapo ndio kissasian walipoishia kuweka Subtitles.
wewe ndiye ulieweka tafsiri ya hii drama?
kila sehemu niliopita sijabahatika kuishuhudia iliotafsiriwa?
weka link tafadhali
 
Blackpink bado contract yao na YG haijawa renewed so wanaweza kuwa disbanded soon,akiwa kama solo artist hatakuwa bize sana ama pia anaweza kuwa actress wote ili schedules zao ziwe zinawiana
 
talnam aisee kweli haka katoto Jiwoo kalikuwa kanampenda sana mwamba ila jamaa kazubaa sana[emoji23]View attachment 2707304

Na nadhan wataachana
Maana bila efforts za ji woo ye anakaa kimya ingawa anampenda

Alivyokua anamfundisha namna ya kumpraise[emoji1787]

One thing nimehakikisha saggitarus men hawajuagi ku express hisia zao
Wanakufanya u struggle tu kuwaza napendwa au vip
 
[mention]Al-Hadidy [/mention] nimeanza s1 ya transit love
Nimemkuta huyo honim

Ukimaliza unganisha s2 ukutane na ha eun
 
[mention]Al-Hadidy [/mention] nimeanza s1 ya transit love
Nimemkuta huyo honim

Ukimaliza unganisha s2 ukutane na ha eun
Season 1 nimemaliza jana usiku nimelia sana Ho Min alivyotambua feelings kwa ex wake ikiwa too late na mtoto wa kike moyo wake hautaki kuumia tena akaamua kwenda kwa relationship mpya basi ile tearful farewell yao dah inauma sana.


Sema nashukuru hii couple ya hawa wengine ipo hadi sasa maana mwamba huyu alienda kwa show kwa ajili ya kurudiana na ex wake.

Waliachana kwa sababau ndogo sana aisee eti mwanamke alifanya kosa jamaa wala hakujali na mwanamke akijua atakuwa scolded na jamaa but mwamba hakujali hicho kitu yaani akajifanya fala so mwanamke ile guity moyoni ikafanya avunje relationship but baadae akajutia breakup hii ndio ndani ya show wakajaribu kuwa karibu japo mwanzo kulikuwa na misunderstandings zile texts ya "your ex chose you na your ex didn't choose you" zilikuwa zinataka kuwapishanisha kwa wivu kabla ya kukaa na kuyajenga hapa.

Anyway wanapendana sana huwa wanapostiana sana wapo romantic[emoji7]
 

Sio kwa spoiler hizo na nipo ep ya 2[emoji24][emoji24]

[emoji1787][emoji1787]
 
Umenigusa hapo kwa saggi...hata women pia hatujui[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…