talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Umenigusa hapo kwa saggi...hata women pia hatujui[emoji1787]
Yani alafu sagg women tuna tend ya ku flirt kias mtu anaweza asikuelewe kumbe tunafanya as a fun thing
Being emoshono sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenigusa hapo kwa saggi...hata women pia hatujui[emoji1787]
Hawa watoto inabidi wadumu aisee wanapendezana sana[emoji16]View attachment 2707950
tovuti ya dramalist wanasema mpaka sasa zimeonyeshwa drama 63 za wakorea.Ongoing kali
Longing for you
My lovely liar
Atavumiliwa tu watadumu ndio weakness yake hiyo atabadilika akishaexperience mapenzi[emoji23]Pyeong swok na hee ji wanapendana sana sana
Jimin kuna anavyokua insecure wakiachana hiyo ndo sabab[emoji16]
My boy junghyun ashamwagwa?
Kuna mashoga wamefanya kitonga kife dadek zao
Jamani [emoji134][emoji134]Kuna mashoga wamefanya kitonga kife dadek zao
Historical drama zimepungua nadhani pop culture imebadilishwa na Korean wave (Hallyu) watu wanapenda family drama siku hizi na romcom.Mimi binafsi wewe na Nifa nimewafuatilia Sanaa, nikitaka kuangalia drama nzuri nakuja kwenye comment zenu kuangalia mmerecommend nini, then na Mimi napita humohumo[emoji2][emoji2][emoji2], miaka ya hivi karibuni nikaona wote mmepotea mnaonekana mara moja moja tuu, binafsi naweza kusema ni majukumu na Mimi yameniandama sio yule wa kukesha usiku mzima kuangalia drama. Ila naona kwa sasa kama historical drama zimepungua hivi.
Ebhna kama Mimi historical drama hazipandi kabisa nimechek mbili tu Faith na Mr queenHistorical drama zimepungua nadhani pop culture imebadilishwa na Korean wave (Hallyu) watu wanapenda family drama siku hizi na romcom.
Hata historical drama zinazotoka ni za episodes chache vile vigongo vya episodes 60-150 havitoki siku hizi.
Lakini pia upande wangu nadhani story nyingi pia za major historical figures na events wameshazitolea drama au movies. Wakitoa historical drama siku hizi zinakua based kwenye fantasy au fiction au adaptation/remake ya drama au movies za zamani.
Ukitaka kufurahia historical drama soma kwanza historia ya wakorea kisha utazame drama huku unaunganisha matukio kufuatana na jinsi yalivyotokea kwenye historia.Ebhna kama Mimi historical drama hazipandi kabisa nimechek mbili tu Faith na Mr queen
Shukrani ziwe kwakoMimi binafsi wewe na Nifa nimewafuatilia Sanaa, nikitaka kuangalia drama nzuri nakuja kwenye comment zenu kuangalia mmerecommend nini, then na Mimi napita humohumo[emoji2][emoji2][emoji2], miaka ya hivi karibuni nikaona wote mmepotea mnaonekana mara moja moja tuu, binafsi naweza kusema ni majukumu na Mimi yameniandama sio yule wa kukesha usiku mzima kuangalia drama. Ila naona kwa sasa kama historical drama zimepungua hivi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mna tabia mbaya...Yani alafu sagg women tuna tend ya ku flirt kias mtu anaweza asikuelewe kumbe tunafanya as a fun thing
Being emoshono sasa
Mimi historical drama naangalia na ninazifurahia bila kujua hiyo historia...kwa sababu lengo langu si kujua historia bali ni kuburudika na kuelimika kwa matukio ya kwenye dramaUkitaka kufurahia historical drama soma kwanza historia ya wakorea kisha utazame drama huku unaunganisha matukio kufuatana na jinsi yalivyotokea kwenye historia.
Nakuhakikishia wakorea wana historia tamu sana.View attachment 2708313
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mna tabia mbaya...
Concrete Utopia ni single movie aisee inahusu EarthquakeHii drama ninaisubiria kwa hamu sana. Nitaanza nayo tar 9 mpaka mwisho hata kama ina episode 100.
Inaitwa Concrete Utopia
View attachment 2708436
Ila ukaijua historia vizuri kuna kafeeling flani ivi kuna muda hadi najikutaga ni rookie historian wa korea😀Mimi historical drama naangalia na ninazifurahia bila kujua hiyo historia...kwa sababu lengo langu si kujua historia bali ni kuburudika na kuelimika kwa matukio ya kwenye drama
Cheki single movie inaitwa : The ThroneEbhna kama Mimi historical drama hazipandi kabisa nimechek mbili tu Faith na Mr queen
What.? Ni single movie [emoji44] basi nimesoma vibayaConcrete Utopia ni single movie aisee inahusu Earthquake