talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Hata mimi ningekuwa Mkorea ningedate na older woman ila miaka 9 mingi asiee[emoji23][emoji23]
Love Mafia no nina mpango wa kuangalia moja hivi inaitwa Somebody hii ni dating show ila wanadance sana humo ndani.
Pia nadhani First Love Again itafutia hii ni kama jina lake wale wapenzi wa utotoni wanapata fursa ya kukutana tena na kuwa karibu hapa kazi kwao wakumbushie enzi relationship ichanue ama kila mtu afuate yake.
Kuna Love After Divorce 4 imeanza last week hii wale ambao walikuwa mke na mume wanakutana tena na kusolve misunderstandings kama watarudiana au kila mru achukue hamsini zake.
•Hapa nacheza na kitonga cha asubuhi nipo na Transit Love S2 mwanzo mwanzo
Aaah hiyo ya dancing naitaka
Kwenye TL 2 utakutana na huyo handsome wao akicheza nyimbo za IVE, alf utakuja ona mishangaz ilivyo na bahat korea[emoji1787]
Jana nikaona interview ya kyuhun na 19/20 crew
Couples zilizoadmit kudate ni ya my bwoy junghyun na loveydovey heeji nimefurahi sanaa