Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeanza Six-flying dragon nipo episode ya 10 now ,ni bonge moja la picha la drama
Ukimaliza Six flying dragon tafuta muendelezo wake inaitwa "Deep Rooted Tree" ya Jang Hyuk nayo ni balaa director yule yule.
Halafu kuna "king of tears Lee Bang-Won" ukipata access nayo hutajutia muda wako.
 
Halafu kuna "king of rears Lee Bang-Won" ukipata access nayo hutajutia muda wako.
Naiscreenshot comment yako nizitafute maana hizo ni taste zangu. Six flying dragon imenifanya kuna siku nilale mpaka sasa 7 usiku .
 
Ukimaliza Six flying dragon tafuta muendelezo wake inaitwa "Deep Rooted Tree" ya Jang Hyuk nayo ni balaa director yule yule.
Halafu kuna "king of tears Lee Bang-Won" ukipata access nayo hutajutia muda wako.
Kuna series mayo nafuatilia ila niliweka kwenye Library ya kutafsiriwa na maDj ,yeye kaiandika Baekje kama unaijua naomba jina lake halisi ikiwa hajachange niwe nafuatilia mtandaoni nilipoishia .

Star ni huyo chini anaitwa Jang Baba yake mfamle wa Baekje alizaa na mcheza dansi mtumishi wa jumba la kifalme na yeye amekuwa bila kumjua Baba.
Screenshot_20230611_161809.jpg
 
Kuna series mayo nafuatilia ila niliweka kwenye Library ya kutafsiriwa na maDj ,yeye kaiandika Baekje kama unaijua naomba jina lake halisi ikiwa hajachange niwe nafuatilia mtandaoni nilipoishia .

Star ni huyo chini anaitwa Jang Baba yake mfamle wa Baekje alizaa na mcheza dansi mtumishi wa jumba la kifalme na yeye amekuwa bila kumjua Baba.View attachment 2714824
Huo mzigo unaitwa "Ballad of Seodong" upo vizuri huo mzigo.

Halafu hawa wazee wa kutafsiri wanapenda kujitungia majina unakuta drama wanaiita "fake love", "the mask", "revenge" , "betrayal" wanajitungia majina sijui wana shida gani😀
IMG_20230811_223708.jpg
 
Huo mzigo unaitwa "Ballad of Seodong" upo vizuri huo mzigo.

Halafu hawa wazee wa kutafsiri wanapenda kujitungia majina unakuta drama wanaiita "fake love", "the mask", "revenge" , "betrayal" wanajitungia majina sijui wana shida gani[emoji3]
View attachment 2714879
[emoji2][emoji2][emoji2],Hata Mimi nimeona mkuu drama Kama crash landing on you wanaiita emergency love n.k
 
Ndugu zangu wakorea, wapendwa wangu naombeni mwenye mseleleko jamani hata kama ni mb 200 kwa siku, sina hata cha kutizama halafu week yote hii nipo idle nisaidieni jamani [emoji24]
Subiri hadi waokozi wafanikiwe mimi bado napambana
 
Huo mzigo unaitwa "Ballad of Seodong" upo vizuri huo mzigo.

Halafu hawa wazee wa kutafsiri wanapenda kujitungia majina unakuta drama wanaiita "fake love", "the mask", "revenge" , "betrayal" wanajitungia majina sijui wana shida gani😀
View attachment 2714879
Wewe kweli mtabe wa kazi hizi ndio yenyewe hiyo, ndio series ya kwanza inayobase Baekje kuifuatilia maana mimi nimezama zaidi Gugryeo .
 
Ndugu zangu wakorea, wapendwa wangu naombeni mwenye mseleleko jamani hata kama ni mb 200 kwa siku, sina hata cha kutizama halafu week yote hii nipo idle nisaidieni jamani [emoji24]
Halotel ukidownload MyHalotel app play store unapata GB 1 au 2 bure.
 
Back
Top Bottom