talnam kuna hii show inaitwa Love Recall nimejaribu kutest kidogo ni nzuri flani hii ipo tofauti kidogo na nyingine.
Hii anatokea mwanaume anaongea na main host wa kipindi akielezea kuhusu relationship yake historia hadi iliyovunjika halafu anatafuta ex wake wanakutanishwa sehemu wanafanya mazungumzo akijaribu kuyajenga kurudisha enzi.
Then mwisho wa episode mwanaume anafika studio hiyo pichani then anaambiwa amuite ex wake wa sauti kubwa[emoji16]
Sasa hapo kuna mapazia yanafunguka so yakishafunguka utachokiona mbele yako ndio matokeo,either ex wako unamuona mbele yako karudi yupo tayari mrudiane ama unaona empty kabisa mbele yako ex wako hajaja hawezi kurudi kwako tena.
Anyway episode ya 2 nimevutiwa na story ya huyu jamaa wa raia wa Australia akiwa na miaka 22 alipendana na mwanamke wa Kikorea mkubwa kwa miaka 9,ila wakaja kuachana kisa mambo ya ndoa mwanamke age inasogea alitaka kujua future yao ila jamaa kwa umri wake na pia financially hajajipanga kuhusu kuoa kama unavyojua Korea life ni ghali kuoa inahitaji ujipange haswa,basi tena wakazinguana wakaachana.
Miezi 5 baadae jamaa ndio akatuma request kwa hii show akaomba kukutana na ex wake wayamalize bahati ikawa kwake baada ya kujaribu kuyajenga na kufunguka kuhusu plan yake kuhusu ndoa,mwisho wa episode ex akarudi kwa mwamba ila alijua kumpa presha pazia zilivyofunguka hakuonekana kumbe alitaka kufanya surprise alitokea upande tofauti kila mtu alijua harudi,jamaa alitaka hadi kulia.
View attachment 2710247