Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Yeah,ni action,thrilling na romanceNi action Sasa ??
Wa mongolians sio watu wazuri kabisa😂😂, Kuna kipindi khan alienda kufyeka jeshi la nchi jirani aisee🤒Yeah,ni action,thrilling na romance
Iko episode ya 4 sasa na kwenye hii episode action ndo imeanza rasmi mana ni full vita
Wale mongolians wanatisha kwakweli najikaza tu vile kastory kamenivutia!
Hio sijaiona bado ni kali?Mvaa Kobazi hiyo lady Gil chae una ijua🤔??
Sasa humo ndo utawaonaWa mongolians sio watu wazuri kabisa😂😂, Kuna kipindi khan alienda kufyeka jeshi la nchi jirani aisee🤒
Hata sisi tuna historia nzuri ni vile tu hatuheshimu vya kwetu. Tuna historia nzuri Maji maji, Chief Mkwawa, Mwanamalundi, Unju bin unuk, Nyerere, Kifdude bint Baraka, Tip tip, nkSasa humo ndo utawaona
YAni shoka moja mtu chini puu kwaheri!
Wenzetu wana akili sana ya kutunza history yao cheki leo hii tunavyoenjoy historia za wenzetu kwenye movies,
Shida hazitakua broad kama za wenzetu maana ujue hawa kipindi cha ufalme wale historians walikua wanarekodi kinachotokea kwa mfalme daily,je huku kwetu hizo zipo?Hata sisi tuna historia nzuri ni vile tu hatuheshimu vya kwetu. Tuna historia nzuri Maji maji, Chief Mkwawa, Mwanamalundi, Unju bin unuk, Nyerere, Kifdude bint Baraka, Tip tip, nk
Zote hizi ikifanyika production nzuri na ikihusisha story nzuri na waigizaji mahiri watu watapenda angalia jinsi fictious story ya ODAMA ilivyobamba.
Mkuu naomba link ya hii maana siioni Nkiri Wala netnaijaYeah,ni action,thrilling na romance
Iko episode ya 4 sasa na kwenye hii episode action ndo imeanza rasmi mana ni full vita
Wale mongolians wanatisha kwakweli najikaza tu vile kastory kamenivutia!
Niaje wakuu, natumai mko poa. Nawezaje kupata series inaitwa The Great Queen of Sendeok.
Natanguliza shukurani.
Barikiwa mkuu.Queen Seondeok Season 1 FREE Download - KimoiTV
Watch & download Queen Seondeok Season 1 K Drama in HD (MP4, H.264), (MKV, HEVC) for free. Available for Android & iOS mobile streaming and download on KimoiTV.kimoitv.com
Mbona mi naicheki nkiri,ukisearch pale my dearest haiji?Mkuu naomba link ya hii maana siioni Nkiri Wala netnaija
Haiji unaandika jina gani?Mbona mi naicheki nkiri,ukisearch pale my dearest haiji?
Andika My dearestHaiji unaandika jina gani?
Andika My dearest
Asante mkuuBarikiwa mkuu.
Sorry, kwani hiyo drama ya my dearest ishakamilika?Andika My dearest
Hapana ni ongoingSorry, kwani hiyo drama ya my dearest ishakamilika?
Sijawahi kufuatilia on going maana, dah! Mpaka usubiri? Bora mzigo ukamilike.Hapana ni ongoing
Ndo imetoka episode ya 4
Weweee uliachaje The great queen? Ni nzuri sana bwana hebu irudie hutojuta kabisa [emoji16]Wazee wa Mapazia nimekubali taste zenu[emoji1787]
Aah hii six flying dragon haipoi haiboi
Kwakweli tangu nimeqnza episode 1 sijarukisha
Vitu ka hii ni vipi? alafu uzur bado ipo na quality nzuri
Queen seondok niliacha episode za mwanzo sijui itachanganya huko mbele