Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwenye Jang Yeong Sill (pichani kwenye avatar yangu) uasi ulitaka kuibuka Loyalist wa Gugreyo walitaka kufanya mapinduzi .Nilianza na hiyo kwanza na kwa mara ya kwanza nikakuta Joseon sikujua historia ya Joseon jinsi ilivyoanzishwa mpaka nilivyooona Six flying dragon nikaunganisha dots na kuelewa mchongo mzima.
 
Nimeona Jang yeong sill na Six flying dragon mpaka namaliza sijawahi kugundua kama Lee Bang Won yupo mule.
 
Aliyavaa uhusika wa Sambong kwenye Six flying dragon kipindi yuko kijana na watoto mapangoni sura yake inakuja kama Young Pobrother wake Daeso wa kwenye Jumong.
 
Pia nimeipenda sana yule dogo aliyevaa uhusika wa Lee Bang Won akiwa utotoni ile ongea yake na usiriaz latisha sana mule.
 
Hivi hakuna series inayoonesha majuto ya baadhi ya makosa ya wakorea waliyoyafanya zamani?

Maana kama jang yeong sil huyu alifanyiwa figisu sana kwenye development za sayansi kwa sababu alikua low-born
 
Mie mgeni wa korean drama biambie series kalii za romance na action za kikorea ili nienjoy
Karibu kundini mkuu. Kwa kuanzia hizi zitakufaa

Romance:
What is wrong with secretary Kim
Moon lovers: Scarlet heart ryeo
The world of the married
Descendants of the sun
Uncontrollably fond
Goblin

Action:
K2
Iris
Healer
Vagabond
Squid game
Six flying dragon
All of us are dead
The man called god
Warrior Baek Dong-soo
 
Umenikumbusha Time between dog and wolf ni kati kdrama za mwanzomwanzo kabisa kuzitama naweza kusema ndio zilizoniingiza kwenye ulevi. Yule mwenzie na Lee joon ki pamoja na kutazama drama zake nyingi jina lake nimeshindwa kulishika...🤣🤣
Hongera sana, mie Jumong ndio ilinifungulia Safari ya Wakorea, mwaka 2008 enzi hizo ITV ila sikufanikiwa kuielewa maana kuna episode nilikuwa zinanipita maana enzi hIzo ikifika saa 3 unapelekwa kitandani n bakora, so nilikuwa naivizia marudio J. Mosi.

But officially nilianza kuwafuatilia 2010.
Nilianza na hiyohiyo
1 Jumong: Legend of Prince
2. Iris
3. Queen Seon Deok
4. King Gwanggaeto: the Great Conqueror
5. City Hunter
Hizo ndio drama zangu za mwanzo kuzitama. Nakumbuka nilikuwa na wadau wazipenda mno enzi hizo nasoma mafundisho kanisa la KKKT, kuna jamaa alikuwa ananiletea DVD ya Queen Seon Deok & King Gwanggaeto around 2011 & 2012.
 
Asante kaka
 
Jeong Do Jeon na Six flying dragon
Ukiniuliza ipi ni kali majibu yanategemea matarajio yako kwenye drama hizo. Kama unataka kuijua history vizuri namna Joseon ilianzoshwa basi Jeong do Jeon ni drama yako sahihi. Ila kama unataka kuenjoy action Six flying dragon. Ingawa drqma zote 2 zinaweza kukupa vyote nilivyotaja ila kila drama imejitofautisha katika hayo.
Pia nimeipenda sana yule dogo aliyevaa uhusika wa Lee Bang Won akiwa utotoni ile ongea yake na usiriaz latisha sana mule
 
Giant,
Black night
Blood hounds
Tell me what you saw
Big mouth

👉Za porini
Deep hidden root
My country
The great hunter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…