Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ana nyota[emoji23], halafu wengi hawapendagi historical na watu wagumu.
mimi napenda mapanga ndo mana nawapenda marshals
akina anold,rambo walishaniathiri kisaikolojia[emoji23][emoji23]
Mimi napenda Historical sana tu..kuna tofauti kati ya kumpenda mtu na kupenda movie zake. Mfano Chang wook napenda muvi zake ila yeye mwenyewe walaaa, ila ukimpenda mtu kama yeye na muvi zake lazima uzipende
 
Mimi napenda Historical sana tu..kuna tofauti kati ya kumpenda mtu na kupenda movie zake. Mfano Chang wook napenda muvi zake ila yeye mwenyewe walaaa, ila ukimpenda mtu kama yeye na muvi zake lazima uzipende
yes ni kweli
 
Nilipoteza CD zangu za Jumong.Wakuu mwenye Jumong na Iris naomba anitumie.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mimi nlivyomgugo nikakuta ameoa daah nlichukia ila baadae nikaona hakuna namna maisha inabidi yaendelee
Hahahaaaaa ndio sawa na mimi na II Guk Sung (Jumong) enzi zile [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Hahahaaaaa ndio sawa na mimi na II Guk Sung (Jumong) enzi zile [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nna bahati mbaya nnaowapenda wanakuwaga wameoa[emoji85] [emoji85]
 
Tatizo application ya dramania Ni vipandevipande nikipata apps za full episode mtanisaidia sana wadau
Natumia simu
 
aigoooo unaonekana una huzuni kubwa sana kwa kumkosa minoz kwa miaka 2 kuanzia sasa, sijui mke mwenza mtarajiwa Bae suzy nae ana huzuni kiasi gani.

Yaani nna majonzi si kidogo aisee miaka miwili mingi sana aisee...mke mwenza atakuwa anamtembelea kwani huko aliko haruhusiwi hata kutembelewa?
 

.hahahahaaaaa we kiboko,smtm inanoga mbele ya safari usiwe unajinyima mautam hivyo
kingface mi nakushauri ukipatanafasi icheki tena,kastori kameenda shule

aaaah afu huyo mrembo cjmuona kwenye series nyingine zaid ya hiyo ya shine or go crayz

hahahaaaa aaah jamani wakaka wakikorea ni wazuri,mi nilikapenda ka 14th prince kale kalikochinjwa na main lead na mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…