Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ana nyota[emoji23], halafu wengi hawapendagi historical na watu wagumu.
mimi napenda mapanga ndo mana nawapenda marshals
akina anold,rambo walishaniathiri kisaikolojia[emoji23][emoji23]
Mimi napenda Historical sana tu..kuna tofauti kati ya kumpenda mtu na kupenda movie zake. Mfano Chang wook napenda muvi zake ila yeye mwenyewe walaaa, ila ukimpenda mtu kama yeye na muvi zake lazima uzipende
 
Mimi napenda Historical sana tu..kuna tofauti kati ya kumpenda mtu na kupenda movie zake. Mfano Chang wook napenda muvi zake ila yeye mwenyewe walaaa, ila ukimpenda mtu kama yeye na muvi zake lazima uzipende
yes ni kweli
 
Nilipoteza CD zangu za Jumong.Wakuu mwenye Jumong na Iris naomba anitumie.
 
Hahahaaaaa ndio sawa na mimi na II Guk Sung (Jumong) enzi zile [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nna bahati mbaya nnaowapenda wanakuwaga wameoa[emoji85] [emoji85]
 
Tatizo application ya dramania Ni vipandevipande nikipata apps za full episode mtanisaidia sana wadau
Natumia simu
 
Anyong
-+BUI6LDqFwD6+Image+by+null.jpg
 
aigoooo unaonekana una huzuni kubwa sana kwa kumkosa minoz kwa miaka 2 kuanzia sasa, sijui mke mwenza mtarajiwa Bae suzy nae ana huzuni kiasi gani.

yevTGsi.jpg
Yaani nna majonzi si kidogo aisee miaka miwili mingi sana aisee...mke mwenza atakuwa anamtembelea kwani huko aliko haruhusiwi hata kutembelewa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi lead nikiwa simuelewi naacha kuangalia[emoji23][emoji23][emoji23]
princess man bora yule princess ndo ange lead....
kings face mdada mmbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nilianza kuangalia Ruler :master of the mask
nikadhani second lead ndo ana lead kidogo niache kuitazama ila bahati nzuri nikaona kuna huyo lead [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka ujinga mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hakuna demu mkali kama alieigiza shine or Go crazy na jang hyuk mdada mzuri sana.. kijiji kilimpendeza[emoji23]

halafu scarlet ryeo ikarudiwa ila story different kdg.
halafu kwenye scarlet nampenda sec lead kuliko main[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

.hahahahaaaaa we kiboko,smtm inanoga mbele ya safari usiwe unajinyima mautam hivyo
kingface mi nakushauri ukipatanafasi icheki tena,kastori kameenda shule

aaaah afu huyo mrembo cjmuona kwenye series nyingine zaid ya hiyo ya shine or go crayz

hahahaaaa aaah jamani wakaka wakikorea ni wazuri,mi nilikapenda ka 14th prince kale kalikochinjwa na main lead na mke wake
 
Back
Top Bottom