Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Website ya NKIRI inashida gani je ni mimi peke yangu ndo nakutana na hii changamoto
 
Song Of Bandits :
mnamo septemba 22, Netflix waliachia huo mzigo wenye jumla ya episode 9. Hadithi yake inakurudisha kwenye miaka ya 1900 nchini Joseon (korea). Nyakati ambazo korea walianza kutawaliwa na Japan.
kama unapenda action ngumu zenye ukatili ndani yake, movement za wapiganaji wanaopingana na udhalimu wa kikoloni, jaribu hii hutojutia.
muigizaji mkuu ni kim nam gil (mkuu wa bandits) ambaye kabla ya hapo alikuwa ni askari wa jeshi la japan.
historia yake imeanzia wapi, ichungulie hii drama.

 
Huu mwaka wa korea wametoa vyuma katika kila genre

Moving flashback ya wazazi ni noma
Jang juwon/ lee jaeeman ule mkono kama kweli yani
 
Tax driver 2.. Wanasema hv tusimulie hadithi yako kisha amua mwenyewe tukulipizie kisasi au?
Hii series ina mkono balaa hakuna cha love story ni akili na actions tupu..
 
Hiki chuma ni kikali ila hakijaisha hiyo season 9 haikunyesha mwisho
 
Ndo naambiwa hapa
Bora sikuifuta

Yani nataman mtiririko wa visa vya wafalme cha baada ya hii six dragon

Nasikia bang won alikuja kuua ndugu zake baada ya kupata u king
Nenda kaangalie great King sejong
 
Tax driver 2.. Wanasema hv tusimulie hadithi yako kisha amua mwenyewe tukulipizie kisasi au?
Hii series ina mkono balaa hakuna cha love story ni akili na actions tupu..
Season one umeangalia?
 
Anyaesayo.

Moving ni Moving. Bando Linakata Bila Kuelewa.

Moja ya Drama Bora Sana Kwa Huu Mwaka.

Wakorea Waigizaji Wao πŸ‘πŸΌ

Drama Inakuchukua Kwa Kila Kitu.

It's Been a While.
 
Ndiyo Dramas yenyewe hiyo
 
Mwamba sana huyu, nadhani karibia kila moja wetu alimpenda kupitia Drama ya Queen Seon Deok. Kuna kazi alicheza Single inatwa Bandit vs Piretes ilikuwa ina action plus comedy.
Wakati Fiery Priest inatoka NIFER aliipigia sana promo. Wow! hata hicyo ilikuwa on fire.
I'm going to watch this b'coz of him.
 
Anyaesayo.

Moving ni Moving. Bando Linakata Bila Kuelewa.

Moja ya Drama Bora Sana Kwa Huu Mwaka.

Wakorea Waigizaji Wao πŸ‘πŸΌ

Drama Inakuchukua Kwa Kila Kitu.

It's Been a While.
Kwa bando hili hili la mama samia?😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…