Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

The real has come Actor ahn jae hyun sijamuelewa kabisa,zile lips denda zake hazipo sijui kabadili kwa surgery ama,mwanzo mwisho hana uhalisia kabisa(hajabeba uhusika vizuri)
 
asubuhi ya arthdal chronicles: sword of aramun.
kuanzia episode 1 hadi 3
 

Jin sheng yuan - affinities of this life.

Good night
 
1695137779581.png

Veteran Actor Byun Hee Bong Passes Away​


nimemkumbuka kwenye my girlfriend is gumiho ya lee seung gi na shin min ah
 
Ndo naambiwa hapa
Bora sikuifuta

Yani nataman mtiririko wa visa vya wafalme cha baada ya hii six dragon

Nasikia bang won alikuja kuua ndugu zake baada ya kupata u king
Bang won aliwaua wale watoto kambo wa babake wawili.

Ila kaka zake wa damu alikuwa anawapenda sana

Bang Ga
Bang gwa
Bang ui
na kaka yao mkubwa alisusa kuunga mkono joseon dynasty. Alibaki kuwa loyal Kaa goryeo dynasty.

Jamaa aliua mashemeji zake wote wake na WA mtoto wake Sejong the great kisa mashemeji Wana manipulate crown princes kwa faida zao.

Akikataza kabisa kushare madaraka na mkewe alimwambia madaraka yake yeye akihitajika ndio awepo otherwise ashone mavitambaa tu hekaluni[emoji1787]

Ukijidai unampinga tu atakutafutia sababu anakupoteza kihalali kabisa bila mikono yake kuchafuka.

Lee bang won KING TAEJONG .
 
Back
Top Bottom