Kheri007
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 289
- 475
Oi nimekuchek inboxNa bado tunasubiri vagabond 2 ata wakiitoa 2090 tukiwa hai tutaingalia[emoji23]
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oi nimekuchek inboxNa bado tunasubiri vagabond 2 ata wakiitoa 2090 tukiwa hai tutaingalia[emoji23]
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Na bado tunasubiri vagabond 2 ata wakiitoa 2090 tukiwa hai tutaingalia[emoji23]
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Hiyo drama ikiisha tunatakiwa tukapime afya ya moyo na akili maana tutakuwa hoi[emoji23]Sio mbali kama tumesubiri Arthdal miaka, hospital playlist Mwaka
Aah kikubwa afya na uhai
Maana ni worth waiting
Ila Gil chae, sometime wadada tunazingua kwenye kufanya maamuzi
Hiyo drama ikiisha tunatakiwa tukapime afya ya moyo na akili maana tutakuwa hoi[emoji23]
Hadi sasa najiuliza yule mtu aliyekuwepo kwenye sehemu waliyofungiwa wagonjwa wa akili ni nani!He akiacha kukera huyu anafata huyu
Sad ending hii bora ya Mr Sunshine ilikua na tumaini
Hawa wana timing mbaya
Usikute ni jang hyun mbeleni🤣🤣🤣🤣🤣Hadi sasa najiuliza yule mtu aliyekuwepo kwenye sehemu waliyofungiwa wagonjwa wa akili ni nani!
Kinachoshangaza aliulizwa kuhusu Jang Hyun kama atakuja!Usikute ni jang hyun mbeleni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona tutatafutana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi sasa najiuliza yule mtu aliyekuwepo kwenye sehemu waliyofungiwa wagonjwa wa akili ni nani!
Kinachoshangaza aliulizwa kuhusu Jang Hyun kama atakuja!
Maybe hakufa
Whatever it is mimi nataka ending ambayo jamaa atapata mwanamke hata kama ni second lead huyu aliyeonekana episode kuanzia ya 9,anahitaji sana furaha!
Second female lead kacheza nae kwenye One Dollar Lawyer alikuwa ex girlfriend wake.Kwanza komwe la SFL kama nampata hivi
Jang hyun mzee wa totoz
Hizi scene jang hyuk huwa anaziuua sana
Nam goomin nae kapita mule mule
Sina uhakika na hili, but you might have a point regard this saga.pia the bigger the ass the smaller the brain![]()
![]()
Hiyo kazi hata mie naisubiri. Yule adui alikuwa na dharau sana dhidi ya stat,Hahaha na Vagabond nayo
Imeisha kama inaanza
Mpaka seun gi akipata mtoto aoe aje kucheza yeye tunaisubiri
Imagine nimekumbuka ilivyoishia pale, kuna drama kali sana huwezi kupotezea yani
Naam hakika!Sina uhakika na hili, but you might have a point regard this saga.
Mfano wanawake wenye IQ kubwa Duniani wanatoka
Korea, Japan, Taiwan, Singapore, Hong Kong na China. Discuss hizo nchi wengi sana hawana makalio makubwa.
Pia nchini Japan moja ya utamaduni wao ni kuwa mwanamke akiwa na makalio makubwa anatazamwa kama matusi. Wanapendq zaidi muonekano wa nje wa mwanamke awe na sura nzuri, kisha awe na mwili wa kimiss.
Mwisho wa siku Makalio makubwa is nothing than based on your own Psychological perspective.
Hata mie kwa mwanamke linapokuja suala la muonekano wa nje sura kwanza mzee
Inaonekana ending jang hyun ataishia na gil chae,hujaona instagram kwenye akaunti yake jamaa amepost hint?Kinachoshangaza aliulizwa kuhusu Jang Hyun kama atakuja!
Maybe hakufa
Whatever it is mimi nataka ending ambayo jamaa atapata mwanamke hata kama ni second lead huyu aliyeonekana episode kuanzia ya 9,anahitaji sana furaha!
Naona mnaoeana moyoView attachment 2748401
Acha kaka unaanzaje kulinganisha hiyo sura na vitu vya ajabu!!. Katika wakorea ambao nishawaona huyu kwangu ndio Most beautiful Utamkuta kwenye Dong Yi kama Queen Inhyeon pia 3 Days kacheza n.k anaitwa Park Ha Sun
View attachment 2748402View attachment 2748403
Acha kabisa huyu. Anaitwa Park Joo Mi
Utamkuta kwenye Hur Jun ndie alikuwa Queen, pia Deok Man kwenye Emperor's Dream
View attachment 2748404
Haka ka dada acha kabisa
Utakakuta kwenye Waikiki zote na pia The Merchant Gaekju n.k
Anaitwa Moon Ga Young yaani napenda anvyotabasamu
Don't mess with sura kaka.
Second female lead kacheza nae kwenye One Dollar Lawyer alikuwa ex girlfriend wake.
Lee Chung Ah yupo kwa Celebrity pia mule alikuwa mpoleee!
Hiyo kazi hata mie naisubiri. Yule adui alikuwa na dharau sana dhidi ya stat,
Maana haiwezekani alikuwa anamsaidia Yi Seung gi kujitafuta yeye.
Kuna watu wakiona wanalia[emoji23][emoji23]View attachment 2748401
Acha kaka unaanzaje kulinganisha hiyo sura na vitu vya ajabu!!. Katika wakorea ambao nishawaona huyu kwangu ndio Most beautiful Utamkuta kwenye Dong Yi kama Queen Inhyeon pia 3 Days kacheza n.k anaitwa Park Ha Sun
View attachment 2748402View attachment 2748403
Acha kabisa huyu. Anaitwa Park Joo Mi
Utamkuta kwenye Hur Jun ndie alikuwa Queen, pia Deok Man kwenye Emperor's Dream
View attachment 2748404
Haka ka dada acha kabisa
Utakakuta kwenye Waikiki zote na pia The Merchant Gaekju n.k
Anaitwa Moon Ga Young yaani napenda anvyotabasamu
Don't mess with sura kaka.
Sio tunapeana moyo,ni tastes tu kama ilivyo kwenye different tastes kwa drama.Naona mnaoeana moyo
View attachment 2748412