Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

He's a versatile actor.
roho ngumu yeye
ucheshi yeye
ukatili yeye

park sung woong amebarikiwa, hapo ndipo ninapowapenda supporting actors wa korea.
takribani wote ni vinyonga

Sana huwa hawaangushi
Na kuna sura ukizikuta bila Leads zinatosha kukupa mzuka wa kutizama
 
Ila pisi za kikorea zina sura nzuri sana shida yao hawana nyama kabisa ni hawana vishundu kabisaaaa hata vya kuzugia sijui hawali au ndio mambo ya DNAView attachment 2741970
Yani kitendo cha kumshauri awe na nyama ujue ndio unamtoa kwenye kundi la warembo kulingana na vigezo vyao, mambo ya vishundu na na nyama nyingi ni ya kwetu huku sisi wabantu.
 
Yani kitendo cha kumshauri awe na nyama ujue ndio unamtoa kwenye kundi la warembo kulingana na vigezo vyao, mambo ya vishundu na na nyama nyingi ni ya kwetu huku sisi wabantu.
Naelewa ila mademu wa korea wamezidi ni flat screen kabisa bora hata wazungu
 
IMG_3321.jpg

Mzigo huo hapo[emoji119][emoji119][emoji119]
 
nafikri awamu hii hawa netflix hawajapewa haki ya kuonyesha hii drama ya arthdal chronicles kidunia (nje ya korea).
Nijiandae kisaikolojia kwa kuchelewa kwa subtitle.
sad
 
Mpya hazina mzuka siku hizi sijui ndo kuzeeka,huku wengi wanaisifia king the land ila kwangu naiona ya kawaida mno imezidi uongo,waweza iangalia,jaribu business proposal, descendants of the sun japo sio mpya,the liar and his lover
Hello guys!

Naomba recommendations mpya za romantic, family or business drama.
 
Mpya hazina mzuka siku hizi sijui ndo kuzeeka,huku wengi wanaisifia king the land ila kwangu naiona ya kawaida mno imezidi uongo,waweza iangalia,jaribu business proposal, descendants of the sun japo sio mpya,the liar and his lover
Umeona na wewe...nimeishia ep 14 nimeona uvivu kuimalizia

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mpya hazina mzuka siku hizi sijui ndo kuzeeka,huku wengi wanaisifia king the land ila kwangu naiona ya kawaida mno imezidi uongo,waweza iangalia,jaribu business proposal, descendants of the sun japo sio mpya,the liar and his lover
Thanks 😍
 
Niumalize mwendo sasa
Real has come 49 na 50
Moving (Naisubiri ikamalikike niiangalie kwa marathon ni nzuri)
Ongoing nazoangalia
Destined with you
My lovely boxer( Drama za KBS sio boring )
My lovely liar
Killing vote
Behind your touch
Longing for you (ishakamilika)

Spoiler:First responders nilicheki s1 ni nzuri lakini nimesoma comment walichokifanya s2 unaambiwa director na muandika stori wakikamatwa watapigwa[emoji23][emoji23]

Zilizokamilika ambazo ni kali
NOT OTHERS
MY DEAREST Part 1

Aliyeangalia a time called you na mask girl vipi ni kali?
Screenshot_20230912_003725_My%20Files.jpg
 
Niumalize mwendo sasa
Real has come 49 na 50
Moving (Naisubiri ikamalikike niiangalie kwa marathon ni nzuri)
Ongoing nazoangalia
Destined with you
My lovely boxer( Drama za KBS sio boring )
My lovely liar
Killing vote
Behind your touch
Longing for you (ishakamilika)

Spoiler:First responders nilicheki s1 ni nzuri lakini nimesoma comment walichokifanya s2 unaambiwa director na muandika stori wakikamatwa watapigwa[emoji23][emoji23]

Zilizokamilika ambazo ni kali
NOT OTHERS
MY DEAREST Part 1

Aliyeangalia a time called you na mask girl vipi ni kali?View attachment 2746401

Iyo Mask girl umarekani mwingi nimetizama had ep ya pili

Huko mbele nasikia anabadilika actress na wanamsifia ndo nitaimaliza sababu hiyo ila siyo kivile
 
Back
Top Bottom