Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Duh mimi huwa natumia vya kuunga nikipata episodes hata 5 za mb 300 kwa siku life goes on

Aisee gharama mno

Mie hata nikibanwa kwa wiki hata boda atapeleka simu wanishushie alaf naipitia hivi hivi sitoboi


Leo nimeenda kumbe hiyo variety ndo kwanza inaanza
Ikabid nishushe ‘somebody’
 
Aisee gharama mno

Mie hata nikibanwa kwa wiki hata boda atapeleka simu wanishushie alaf naipitia hivi hivi sitoboi


Leo nimeenda kumbe hiyo variety ndo kwanza inaanza
Ikabid nishushe ‘somebody’
Somebody niliiweka kwenye list tangu July ila kitonga kilivyokufa kikaharibu kila kitu

Hata Exchange nimeimaliza last week

Sema kuna show ya vitoto vidogo vinajua kuimba hatari inaitwa Forsythia Academy nzuri sana
 
Kwa mchina kuna hii kazi isisahaulike ni chuma kwelikweli
 
Lee bang won mnyama🤣
 
Sijui kwanini wachina huwa hawana drama zinazoelezea historia ya nchi yao kama ilivyo korea. Huku kwenye drama za Korea tunaongeshwa kuwa China ilikuwa falme kubwa dhidi ya zile za Korea.
Waliangalie hili maana wengi tunajua kazi zao chache sana tofauti na korea
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…