Han Kyul
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 264
- 529
Duh mimi huwa natumia vya kuunga nikipata episodes hata 5 za mb 300 kwa siku life goes onHamna
Mimi naendaga ofisi za watu huko ndo natumia wi-fi zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mimi huwa natumia vya kuunga nikipata episodes hata 5 za mb 300 kwa siku life goes onHamna
Mimi naendaga ofisi za watu huko ndo natumia wi-fi zao
Duh mimi huwa natumia vya kuunga nikipata episodes hata 5 za mb 300 kwa siku life goes on
Somebody niliiweka kwenye list tangu July ila kitonga kilivyokufa kikaharibu kila kituAisee gharama mno
Mie hata nikibanwa kwa wiki hata boda atapeleka simu wanishushie alaf naipitia hivi hivi sitoboi
Leo nimeenda kumbe hiyo variety ndo kwanza inaanza
Ikabid nishushe ‘somebody’
HUku kwenye mapazia ndo kwenyeweHii Arthdal Chronicles
Imefanya sasa nihamie upande wa mapanga rasmiii
Secret door kazi kali sana (inaonesha conspiracy theory ya kifo cha sado) RIP crown price SadoMvaa Kobazi cheki list hii the royal gambler, Jang ok Jung, warrior baek dong so.
👉 Scholar who walk the night, shine or go crazy,
👉Haechi, secret door, gun man in joseon
View attachment 2767827View attachment 2767828
Kwa mchina kuna hii kazi isisahaulike ni chuma kwelikweliNakupa recommendation
1. A fist within four walls(2016) hii ilikuwa drama yangu bora kwa mwaka 2016, hata hong kong was best drama of year.
2. Righteous fists(2022) ni moja ya drama kali kwa mwaka jana
Waliocheza hi hao hao, na story zinataka kufanana ILA ni tofauti. ZOTE NI ZA MOTO, STORY NZURI HALAFU DOZI KWA KWENDA MBELE. KUNA LIJITU LINAITWA IRON SHIELD HALIPIGIKI, WALA HALISIKI MAUMIVU.
UTAKUTANA PIGO LINAITWA BAJIQUAN( BAJI FIST), Muay Thai & Wing Chung
Lee bang won mnyama🤣Bang won aliwaua wale watoto kambo wa babake wawili.
Ila kaka zake wa damu alikuwa anawapenda sana
Bang Ga
Bang gwa
Bang ui
na kaka yao mkubwa alisusa kuunga mkono joseon dynasty. Alibaki kuwa loyal Kaa goryeo dynasty.
Jamaa aliua mashemeji zake wote wake na WA mtoto wake Sejong the great kisa mashemeji Wana manipulate crown princes kwa faida zao.
Akikataza kabisa kushare madaraka na mkewe alimwambia madaraka yake yeye akihitajika ndio awepo otherwise ashone mavitambaa tu hekaluni[emoji1787]
Ukijidai unampinga tu atakutafutia sababu anakupoteza kihalali kabisa bila mikono yake kuchafuka.
Lee bang won KING TAEJONG .
Season gani hiyo LaxLee bang won mnyama🤣
Hiyo series ni nzuri sana, nakumbuka niliiangalia kwa siku mbili tu.Baada ya kukaa nayo zaid ya mwaka ndo nimeweza kuitizama all of us dead na kuimaliza na kuipenda
My Dearest season 2 napata shida sana kuipata..!Wale wa "My dearest" kupunguza arosto kujua itaishaje unaweza angalia movie ya "Gone with the wind" au soma novel yake yenye jina sawa.
My dearest ni remake ya hii novel/filamu maarufu.View attachment 2783016
Nita itafuta broLee Bang Won: King of the tears
SAfiNita itafuta bro
Sijui kwanini wachina huwa hawana drama zinazoelezea historia ya nchi yao kama ilivyo korea. Huku kwenye drama za Korea tunaongeshwa kuwa China ilikuwa falme kubwa dhidi ya zile za Korea.Kwa mchina kuna hii kazi isisahaulike ni chuma kwelikweli
View attachment 2784619
wanazo mbona, ni vile huja zifatiliaSijui kwanini wachina huwa hawana drama zinazoelezea historia ya nchi yao kama ilivyo korea. Huku kwenye drama za Korea tunaongeshwa kuwa China ilikuwa falme kubwa dhidi ya zile za Korea.
Waliangalie hili maana wengi tunajua kazi zao chache sana tofauti na koreaSijui kwanini wachina huwa hawana drama zinazoelezea historia ya nchi yao kama ilivyo korea. Huku kwenye drama za Korea tunaongeshwa kuwa China ilikuwa falme kubwa dhidi ya zile za Korea.
Basi hazifahamiki sanawanazo mbona, ni vile huja zifatilia
Kaka huwezi amini hii nimedownload kitambo ila sijaicheki kabisaVyuma vya kichina ni 🔥🔥 🔥, Franky Samuel, Dream Queen, Mvaa Kobazi, Mac Alpho
👉Legend of chusen- s1&2
👉 Charles kilian zichukue hizi, tuta zicheki bro
View attachment 2784637
👉Joy of life s1- season 2 coming
View attachment 2784639
👉Sword snow stride ni 🔥🔥
View attachment 2784641
Hii kalii sanaKwa mchina kuna hii kazi isisahaulike ni chuma kwelikweli
View attachment 2784619