Hmmh, kuna ulazima wa wewe kutembea ukiitafuta.? Kama hakuna ulazima na si lazima iwe imetafasiriwa itafute online ndio itakuwa rahisi.Hivi ile HEALER naweza ipata wapi kwa hapa dar nmeitafta hadi basi
Pamoja na uangalizi wao mzuri kwenye kila sector, treatment nzuri , na kutokuhusika kwenye kazi ngumu, inakuwaje WAFALME wakawa wanaishi miaka michache sana.?Injo wa Joseon aliishi miaka 54 na alikuwa mfalme wa 16, Injo alikuwa ni mjukuu wa mfalme Seonjo (mtawala wa 14 wa Joseon). Injo alibeba madaraka ya ufalme kufuatia mapinduzi yaliomuondoa mfalme Gwanghae mnamo mwaka 1623.
Baada ya Joseon kujisalimisha dhidi ya Qing iliamuliwa crown prince soe hyun achukuliwe mateka na hatimaye akaweka makaazi yake eneo la Simyang ambapo huko aliishi kwa takribani miaka 8.
mwaka 1644, crown prince alihamia Beijing na huko ndipo alikutana na Jesuit missionary Johann Adam Schall von Bell. crown prince alifariki mwaka mmoja baadae baada ya kufanikiwa kurudi nyumbani kwao.
In 1627, mwana wa mfalme alimuoa binti wa bwana Gang Seok-gi (binti huyo ni uzao wa 17 wa kizazi cha General Gang Gam chan wa Goryeo). Sohyeon alikimbia pamoja na baba yake (Injo) kuelekea ngome za Namhan ila kwa pamoja waliamua kujisalimisha mbele ya mfalme Hong Taiji wa Later Jin baada ya kudhibitiwa kwa kisiwa cha Ganghwa na wanajeshi wa Later jin Dynasty.
ndipo hapo safari yake ya kuwa mateka ilipoanzia, Crown prince alitambulishwa rasmi katika ulimwengu wa kimagharibi pamoja na ukatoliki mara baada ya kukutana na Johann Adam Schall von Bell.
crown prince alirudi nyumbani kwao akiwa na mtazamo mpya juu ya dunia jambo lilomweka kwenye upinzani mkali dhidi ya baba yake aliyeamini mwanawe tayari ameshakunywa maji ya bendera ya Qing, ukatoliki na umagharibi.
siku chache baadae mwana wa mfalme aliyeonekana chumbani kwake akiwa amefariki huku akivuja damu, zipo nadharia zinadai ya kwamba mwana wa mfalme aliuliwa kwa njia ya sumu, huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai mfalme Injo alimuuwa mwanawe kwa kumrushia usoni ink slab (kibao fulani hivi wanatumia kwa ajili ya kuchanganyia wino)
mfalme Injo alipunguza siku za maombolezo ya mwanawe, aliweka kizuizi kwa kila aliyejaribu kuchunguza kifo cha mwanawe, si hivyo tu inasemekana mfalme Injo hakuwahi kutembelea kaburi la mwanawe.
baadae Injo aliamuru wajukuu zake watatu (watoto wa mwana mfalme so hyun) waondoshwe (exile)ndani ya mji kuelekea kisiwa cha JEJU, ni mtoto mmoja tu kati ya hao aliyefanikiwa kurudi mainland kwani wengineo waliuliwa. Hata aliyekuwa mke wa crown prince naye aliuliwa kwa hoja ya uhaini.
=========
Kama umeangalia slave hunter utakuwa umeshavuta picha ya mkasa mzima wa kumgombania yule mtoto mdogo, yes alikuwa ni mtoto wa crown price sohyeon. Na yule bwana Song taeha alikuwa ni mlinzi wa crown prince Sohyeon hukoo Simyang, naye aliporudi Joseon pamoja na crown prince alijikuta anatengenezewa kesi ya kuiba chakula cha wanajeshi.
View attachment 2794730
==========
turudi kwenye my Dearest drama, unadhani ni kipi kitamkuta lee jang hyun pindi atakaporudi Joseon kutoka Simyang?
Unakumbuka episode 1 ilianzaje, kwenye ukanda wa bahari wanajeshi wa Joseon walikuwa wamemzunguka Lee Jang Hyun huku akiwa anavuja damu.
unadhani sababu ilikuwa ni nini?
View attachment 2794717
===========
kuna historical movie inaitwa the night owl ya mwaka 2022 ndio naiangalia, inazungumzia hadithi ya mfalme Injo na mwanawe crown prince sohyeon pamoja na daktari mwenye uhafifu wa kuona (blindness) aliyeshuhudia mauaji ya mwana wa mfalme
jioni njema
View attachment 2794729
Six flying dragon ni series ambayo nimeangalia episode nyingi mfulilizo kuliko zote ,sio series yangu bora hapana ila ukiiisha kipande kimoja kinakushawishi kuendelea kutokana na mchaka mchaka wa episode iliyopita ghafla unapata Alosto kali ya kuendelea na next episode mpaka kuna siku nikalala night kali kabisa.Kuna wakati taste ya mtu inabadilika lakini drama zinazopendwa na wengi zinanishinda hizi ni baadhi..
Goblin
Six flying dragon
Just btn lovers
Vincenzo
Song of bandits
DP
Mr sunshine
Itaweon class
Mpaka wakati mwingine labda taste itabadilikika nitazirudia....
Kwasasa niangalie ongoing
My dearest
Sparkling watermelon
Hyo shim independent life
Completed; Gaus Electronics
Vipi slave hunter ni kali ? nimewekewea hapa Library ya mtaani iliyotafsiriwa na MaDJ na nimeanza kuicheki episode za mwanzo ila bado sijaona amsha amsha wala msisimko mzuri wa stori na matukio.Injo wa Joseon aliishi miaka 54 na alikuwa mfalme wa 16, Injo alikuwa ni mjukuu wa mfalme Seonjo (mtawala wa 14 wa Joseon). Injo alibeba madaraka ya ufalme kufuatia mapinduzi yaliomuondoa mfalme Gwanghae mnamo mwaka 1623.
Baada ya Joseon kujisalimisha dhidi ya Qing iliamuliwa crown prince soe hyun achukuliwe mateka na hatimaye akaweka makaazi yake eneo la Simyang ambapo huko aliishi kwa takribani miaka 8.
mwaka 1644, crown prince alihamia Beijing na huko ndipo alikutana na Jesuit missionary Johann Adam Schall von Bell. crown prince alifariki mwaka mmoja baadae baada ya kufanikiwa kurudi nyumbani kwao.
In 1627, mwana wa mfalme alimuoa binti wa bwana Gang Seok-gi (binti huyo ni uzao wa 17 wa kizazi cha General Gang Gam chan wa Goryeo). Sohyeon alikimbia pamoja na baba yake (Injo) kuelekea ngome za Namhan ila kwa pamoja waliamua kujisalimisha mbele ya mfalme Hong Taiji wa Later Jin baada ya kudhibitiwa kwa kisiwa cha Ganghwa na wanajeshi wa Later jin Dynasty.
ndipo hapo safari yake ya kuwa mateka ilipoanzia, Crown prince alitambulishwa rasmi katika ulimwengu wa kimagharibi pamoja na ukatoliki mara baada ya kukutana na Johann Adam Schall von Bell.
crown prince alirudi nyumbani kwao akiwa na mtazamo mpya juu ya dunia jambo lilomweka kwenye upinzani mkali dhidi ya baba yake aliyeamini mwanawe tayari ameshakunywa maji ya bendera ya Qing, ukatoliki na umagharibi.
siku chache baadae mwana wa mfalme aliyeonekana chumbani kwake akiwa amefariki huku akivuja damu, zipo nadharia zinadai ya kwamba mwana wa mfalme aliuliwa kwa njia ya sumu, huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai mfalme Injo alimuuwa mwanawe kwa kumrushia usoni ink slab (kibao fulani hivi wanatumia kwa ajili ya kuchanganyia wino)
mfalme Injo alipunguza siku za maombolezo ya mwanawe, aliweka kizuizi kwa kila aliyejaribu kuchunguza kifo cha mwanawe, si hivyo tu inasemekana mfalme Injo hakuwahi kutembelea kaburi la mwanawe.
baadae Injo aliamuru wajukuu zake watatu (watoto wa mwana mfalme so hyun) waondoshwe (exile)ndani ya mji kuelekea kisiwa cha JEJU, ni mtoto mmoja tu kati ya hao aliyefanikiwa kurudi mainland kwani wengineo waliuliwa. Hata aliyekuwa mke wa crown prince naye aliuliwa kwa hoja ya uhaini.
=========
Kama umeangalia slave hunter utakuwa umeshavuta picha ya mkasa mzima wa kumgombania yule mtoto mdogo, yes alikuwa ni mtoto wa crown price sohyeon. Na yule bwana Song taeha alikuwa ni mlinzi wa crown prince Sohyeon hukoo Simyang, naye aliporudi Joseon pamoja na crown prince alijikuta anatengenezewa kesi ya kuiba chakula cha wanajeshi.
View attachment 2794730
==========
turudi kwenye my Dearest drama, unadhani ni kipi kitamkuta lee jang hyun pindi atakaporudi Joseon kutoka Simyang?
Unakumbuka episode 1 ilianzaje, kwenye ukanda wa bahari wanajeshi wa Joseon walikuwa wamemzunguka Lee Jang Hyun huku akiwa anavuja damu.
unadhani sababu ilikuwa ni nini?
View attachment 2794717
===========
kuna historical movie inaitwa the night owl ya mwaka 2022 ndio naiangalia, inazungumzia hadithi ya mfalme Injo na mwanawe crown prince sohyeon pamoja na daktari mwenye uhafifu wa kuona (blindness) aliyeshuhudia mauaji ya mwana wa mfalme
jioni njema
View attachment 2794729
Hhhah, umelisahau jina la mtu mmoja mzito sana hapo Gogryeo.wakina Jumong ,Damdeok ,Yang Manchun walilinda sana hilo eneo Wakorea wamesalimu amri sasa.
kuna series flan hv naitafutaga sana na sijawah ipata inaitwa Korea Secret Agent nadhani ni ya 2011 picha inaanza kuna mzee aliachaga kazi yuko porini anafuga ng'ombe kuna mtu alitumwa na Helkopter kumfuata, mwanzoni walianza kuwatraini vijana baadae walianza kupewa mission nakumbuka jina moja la kijana kwenye mission alikuwa anaitwa Parachute alikuwa muhuni tu wa mtaa ila akachaguliwa kujiunga na hiyo team, anaeifaham au alie itambua anisaidie link pa kuipata#shukrani
Liadong ingekua ngumu kuiziwia isichukuliwe ukiangalia kwenye ramani hapo unaona ipo mdomoni mwa China.Katika historical drama za kivita nyingi lazima kihusishwe kipande cha Liaodong Peninsula ,unakuta mara kipo chini ya utawala wa wakorea mara nyingine China .Ila sasa eneo hilo ni mali ya china ramani ya zamani Liaodong ilikuwa ndani ya Guegreyo.View attachment 2796990
Ramani ya sasa ipo ndani ya China ,wakina Jumong ,Damdeok ,Yang Manchun walilinda sana hilo eneo Wakorea wamesalimu amri sasa.View attachment 2797003
Mpaka ungekuwa Liao river badala ya Amnok (Yalu river ) eneo lingekuwa chini ya North Korea.View attachment 2797005
Bandiko tamu sana chukua maua yako. Nimependa jinsi ulvyounganisha matukio kutokea kwa "My dearest" mpaka "Chuno".Injo wa Joseon aliishi miaka 54 na alikuwa mfalme wa 16, Injo alikuwa ni mjukuu wa mfalme Seonjo (mtawala wa 14 wa Joseon). Injo alibeba madaraka ya ufalme kufuatia mapinduzi yaliomuondoa mfalme Gwanghae mnamo mwaka 1623.
Baada ya Joseon kujisalimisha dhidi ya Qing iliamuliwa crown prince soe hyun achukuliwe mateka na hatimaye akaweka makaazi yake eneo la Simyang ambapo huko aliishi kwa takribani miaka 8.
mwaka 1644, crown prince alihamia Beijing na huko ndipo alikutana na Jesuit missionary Johann Adam Schall von Bell. crown prince alifariki mwaka mmoja baadae baada ya kufanikiwa kurudi nyumbani kwao.
In 1627, mwana wa mfalme alimuoa binti wa bwana Gang Seok-gi (binti huyo ni uzao wa 17 wa kizazi cha General Gang Gam chan wa Goryeo). Sohyeon alikimbia pamoja na baba yake (Injo) kuelekea ngome za Namhan ila kwa pamoja waliamua kujisalimisha mbele ya mfalme Hong Taiji wa Later Jin baada ya kudhibitiwa kwa kisiwa cha Ganghwa na wanajeshi wa Later jin Dynasty.
ndipo hapo safari yake ya kuwa mateka ilipoanzia, Crown prince alitambulishwa rasmi katika ulimwengu wa kimagharibi pamoja na ukatoliki mara baada ya kukutana na Johann Adam Schall von Bell.
crown prince alirudi nyumbani kwao akiwa na mtazamo mpya juu ya dunia jambo lilomweka kwenye upinzani mkali dhidi ya baba yake aliyeamini mwanawe tayari ameshakunywa maji ya bendera ya Qing, ukatoliki na umagharibi.
siku chache baadae mwana wa mfalme aliyeonekana chumbani kwake akiwa amefariki huku akivuja damu, zipo nadharia zinadai ya kwamba mwana wa mfalme aliuliwa kwa njia ya sumu, huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai mfalme Injo alimuuwa mwanawe kwa kumrushia usoni ink slab (kibao fulani hivi wanatumia kwa ajili ya kuchanganyia wino)
mfalme Injo alipunguza siku za maombolezo ya mwanawe, aliweka kizuizi kwa kila aliyejaribu kuchunguza kifo cha mwanawe, si hivyo tu inasemekana mfalme Injo hakuwahi kutembelea kaburi la mwanawe.
baadae Injo aliamuru wajukuu zake watatu (watoto wa mwana mfalme so hyun) waondoshwe (exile)ndani ya mji kuelekea kisiwa cha JEJU, ni mtoto mmoja tu kati ya hao aliyefanikiwa kurudi mainland kwani wengineo waliuliwa. Hata aliyekuwa mke wa crown prince naye aliuliwa kwa hoja ya uhaini.
=========
Kama umeangalia slave hunter utakuwa umeshavuta picha ya mkasa mzima wa kumgombania yule mtoto mdogo, yes alikuwa ni mtoto wa crown price sohyeon. Na yule bwana Song taeha alikuwa ni mlinzi wa crown prince Sohyeon hukoo Simyang, naye aliporudi Joseon pamoja na crown prince alijikuta anatengenezewa kesi ya kuiba chakula cha wanajeshi.
View attachment 2794730
==========
turudi kwenye my Dearest drama, unadhani ni kipi kitamkuta lee jang hyun pindi atakaporudi Joseon kutoka Simyang?
Unakumbuka episode 1 ilianzaje, kwenye ukanda wa bahari wanajeshi wa Joseon walikuwa wamemzunguka Lee Jang Hyun huku akiwa anavuja damu.
unadhani sababu ilikuwa ni nini?
View attachment 2794717
===========
kuna historical movie inaitwa the night owl ya mwaka 2022 ndio naiangalia, inazungumzia hadithi ya mfalme Injo na mwanawe crown prince sohyeon pamoja na daktari mwenye uhafifu wa kuona (blindness) aliyeshuhudia mauaji ya mwana wa mfalme
jioni njema
View attachment 2794729
Ngoja tukatest hizo za wapaka lipstick na rainbow [emoji304] za mijini [emoji23][emoji23][emoji23]Test za mjini sasa wavaa mashuka pumzika kuwaangalia[emoji23]
Kuna muvi moja nahisi niya kikorea ya mjini sijui jina lake niliona kisehemu tu kilikuwa hivi mapolisi walikuwa wameenda kwenye kufanya mafunzo ya kuzuia wizi kwenye treni cha kushangaza wizi ukatokea wao ndiyo wakaibiwa hapo hapo ndani ya treni .....anaje jua hii muvi ni gani ?Angalia hizi ni za mjini alafu ni kali mno kazi ni kwako
-Innocent defendant
-The last
-Big mouth
- Whisper
-The veil
Fafanua unatumia nini ?Niliwaza ntaishije bila kitonga ila hiki japo hakina nguvu sana ila kinanifanya nijidai hata episodes 10 kwa siku za quality sikosi[emoji847]View attachment 2791235
Ni movie au series?Kuna muvi moja nahisi niya kikorea ya mjini sijui jina lake niliona kisehemu tu kilikuwa hivi mapolisi walikuwa wameenda kwenye kufanya mafunzo ya kuzuia wizi kwenye treni cha kushangaza wizi ukatokea wao ndiyo wakaibiwa hapo hapo ndani ya treni .....anaje jua hii muvi ni gani ?