Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 495
- 1,436
karibu half cake zilizopikwa na wanaume wa DAR.Huwa una madini mengi Sana kwenye hii sector.
Hoping umeshapata jawabu kama umeendelea nayoAsante sana kwa andiko hili
Wakati natafuta sababu ya kuendelea kuitazama, niliipitisha tu kuwa inawezekana historia ndio ilivyokua
Na huyo Bae wake nna mashaka nae sijui ni team Baba wa kambo
Kaka mi mwenyewe Niko nanjilinjii π€, mjini Sija wahi enda toka nizaliweπ€£πGoguryeo imeshajifia...
china wamechukua pande lao
korea kaskazini wamechukua pande lao
russia wamechukua lao
mongolia wamechukulia lao
hiyo nauli ya kutembelea maeneo yote hayo nitaitolea wapi?
ikiwa safari ya darisalama nimedandia boti ya kake baharesaa!!!
Kaka ume nifanya niteme maji niliyo kuwa nakunywaππ€£π€£hukumuelewa, katika mkoa unaoshikilia rikodi ya kuwa na wakorea weusi ni Mwanza.
kuna mkaka mwenye uhusiano na Ng'wana malundi ndio anamnyemelea
huenda ulikuwa umemeza mende ndio maana ukatema majiKaka ume nifanya niteme maji niliyo kuwa nakunywaππ€£π€£
Basi Kaka, vyuma vya kichina una fatilia??huenda ulikuwa umemeza mende ndio maana ukatema maji
AndwaeBasi Kaka, vyuma vya kichina una fatilia??
Bdo nini π€£πAndwae
sifuatilii tv series nje ya korea dramaBdo nini π€£π
weka njia,Kuna kitonga Cha Tigo, ha tunnel ni π₯π₯.
Atakaye itaka ata sema, ili wakude wasije Waka pita nayoweka njia,
wengine wana hali ngumu sana na hali ya bando.
Habari mkuu. Naomba nitumie file hii nipakue A PIECE OF YOUR MINDTunaishi nayo kigumu hatujui lini itachomwaView attachment 2836882
Nipo naistream now ktk viwango vya HD kabisa....Kama ni mpenzi wa movie za kikorea za polini na hupo bored tafuta hiki chuma Warrior baek dong su hiki chuma ni shida nasema hautajuta,
Hii movie ni Kali kama Kuna mtu ameiona atoe hushuhuda humu